Walionya kuwa msafara wa Dr. Slaa usithubutu kukanyaga Mkoa wa Kigoma na sasa mathalan yupo Kigoma wamebaki kudai eti picha! Tuliambiwa jinsi Brigedia wa wasaliti alivyotangulia huko kuhakikisha Kigoma hakuingiliki, sijui imekuwaje tena! Safi sana Chadema, kwa kutoweka picha mnatupa fursa ya kuyatambua magugu na hivyo kuwa rahisi kuyang'oa kwa wakati muafaka...Kelele zote na msururu wa thread moja baada ya nyingine, kumbe watu wenyewe hapa JF hata asilimia 15% ya wana jamvi hawafiki pamoja na kuungwa mkono na Lumumba team...ngojeni waendelee kuteseka!Hii ni aibu ya mwaka. Hiki chama kimefika mwisho.
Zamani mapicha yalikuwa kedekede Leo hata ya mende hakuna. Duu!
imebuma.
Je chuki, umepiga kura tayari? Bonyeza hapa;
[h=3]Maamuzi ya Kamati Kuu CHADEMA kuwasimamisha MM; Sahihi, Kosa, Sijui[/h]
Last edited by a moderator: