Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

Status
Not open for further replies.
ivi mboa hamtafuti picha za kinana na yeye si yuko kwenye ziara?ata wakiwawekee picha mtakubali si ni kupinga kila kitu kalaleni
 
Vipi Alhaj Kapuya? Zee linapenda kubaka vitoto lilee!

Vyeo vyote hivyo, linabaka katoto na ukimwi juu?? Ila ugambani hilo poa isipokuwa Dr. wa ukweli ndo mbaya duu?? hata ubongo wa kuku una nafuu.. kwani hawezi mdonyoa chatu anajua hawezi mmeza!
 
Chadema kama hamna picha basi mtuletee matangazo ya biashara kwa muda tukisubiri aibu ya Kigoma.
 
Haisaidi kitu zitto atakuwa zitto tu na vipawa vyake wala usikate tamaa hata kidogo.ako kababu kanasafisha njia tu kwa wengine Ikilu ataisikia tu.
 
Hivi Makene umeshashindwa kazi mkuu na kuamua kumuachia kazi hiyo TUNTEMEKE? Mbona hatuoni picha wala updates au ww haupo KG pamoja na Rais? Hebu kuwa serious kamanda watu tangu saa9 tumekaa tunasubiria picha lakin wapi au bado unasubiria Michuzi ndo akuwekee picha kama M4C ya jana kahama na wakat upo mtu mahsusi kabisa wa kazi hii.
Utamlaumu bure Makene hali mbaya Kigoma kamanda.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mfikishie ujumbe huu
dr slaa kuwa asiogope kwani nguvu ya nuru haiwezi kushindwa na giza,Ndio
nimemaliza kumuombea Muda huu,Nimemfunika kote kote na damu ya Yesu
dhidi ya Mishale yote ya yule mwovu mkuu wa giza... Vita Vyote dhidi
yake vimekwisha kushindwa ... Ndamira yake ni njema kwa taifa letu.
Mwambie kuwa Asome Andiko hili Isaya 54:17 17 [FONT=book
antiqua]"Kila silaha itakayofanyika juu yako
haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu
utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa Bwana, na haki
yao inayotoka kwangu mimi, asema Bwana."
[/FONT]

Chama cha kitaifa kiongozi wake anaombewa kwa damu ya yesu, Mtoi uko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti wa chadema mkoa alimshauri asiende, yeye Slaa akawa mbishi.

Hapo viongozi wa mkoa wasillaumiwe...
 
Mkuu we ndo utakuwa haujielewi ebu chukua muda kujichunguza, usiseme ya mwingine wakati ya kwako yanakushinda.

kama na wewe unaushahidi dhidi yangu kuwa sijielewi kama SLAAAA aliyegonga LIKES kwenye picha za mwaka 2011 ambazo yeye mwenyewe anajua sio za kweli na yeye anauaminishia UMA kuwa ni kweli, sasa tutamuamini kwa lipi? naendelea kupata picha kumbe huyu mzee ni MLAGHAI wa kufa mtu na yote ambayo hukana kama kuchakachua KATIBA ni kweli na yale anayowasingizia wenzie hushiriki kwenye utunzi kama anavyoweza kushiriki kufoji picha
 
Chopa ya Chadema imetunguliwa na Mkulima.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom