Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

Status
Not open for further replies.
"Hakuna kiongozi aliye juu ya katiba, nawaasa wote mnaobeba mabango kujiangalia kwa kuwa ninafahamu wanatumiwa" Dr. Slaa akiwa Kakonko.

Mwananchi
 
siku zote uongo haudumu na daima ukweli hushinda na kuumbua wale wanaoupinga-ZZK.
MBONA SHINYANGA AMERUDIA NDANI YA GARI BILA KUHUTUBIA LAKINI HAMKUSEMA NA MKAAMUA KUPACHINGA PICHA YA MWAKA JANA???
 
Ni watu wachache mno wanaoweza kutamka kwa ukweli kabisa na bila woga mbele tena ya waumini wa mtu mwingne, kwel kama zitto ni mkubwa kuliko chama waende. LLLOOO amewazibua masikio,hata zito alidai alilelewa na cdm pale alipoFikia kazi si ndogo
 
slaa ni mzinifu na hawezi kuacha. zitto ni mwadilifu na hawezi kuacha
 
Slaa Hana phd, ataje chuo alichosomea.

Mtu wa ajabu sana babu huyu.
 
Basi nae mfungeni kama mlivomfunga babu seya, zito ndo kwishney nfo topic apa
slaa amepora mke wa mtu na anafanya naye zinaa hadi leo.
mbowe amezaa na kimada yule mbunge wa viti maalum mkoa wa arusha kupitia chadema
 
slaa ni mzinifu na hawezi kuacha. zitto ni mwadilifu na hawezi kuacha

yy kuwa mzinzi lina shida gani, mbona maprofesa wanabaka watoto wao? zzk sio mwadilifu kama mnavyodhani, wengine tumesoma naye, tunajua jinsi alivyo japo kwa sehemu kwahiyo hata haya anayofanya sio ajabu, moja ya kauli aliyoitoa akiwa udsm kwa waliomsikia alisema unatafuta umaaruf katika vyama vya upinzani kisha unahamia chama tawala na kugombea urais, kazi mnayo, anyway,
 
Kama kweli Zito ni mzito kuliko chama basi na Awe Chama..Zombies In Trouble Organization(ZITO).
 
suala la matumizi ya chama wala hamkuhoji?kwamba anajua yeye,mbowe na mtunza fedha tu?matumizi ya fedha?
 
hana hata degree moja ya ukweli. Hiyo unayoita phd ni jcd ya kuendesha misa!

wewe una umaskini wa roho na upungufu wa hekima ..ndo maana hata sema yako na waza yako ni hukumu kwa familia yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom