Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

Status
Not open for further replies.
Hivi Makene umeshashindwa kazi mkuu na kuamua kumuachia kazi hiyo TUNTEMEKE? Mbona hatuoni picha wala updates au ww haupo KG pamoja na Rais? Hebu kuwa serious kamanda watu tangu saa9 tumekaa tunasubiria picha lakin wapi au bado unasubiria Michuzi ndo akuwekee picha kama M4C ya jana kahama na wakat upo mtu mahsusi kabisa wa kazi hii.

hakuna kitu mkuu makene hii kazi aiwezi,utasubiri sana
 
Wakuu usiku mwema, ngoja nipumzike mapema ili nijiandae na ujenzi wa chama na taifa hapo kesho.

Cc: sixgates, Ritz, Makene
 
Last edited by a moderator:
Kesho utashangaa gazeti la Tanzania Daima litakavyokuja na udaku, lazima liandike Dr.Slaa apata mapokezi makubwa ambayo hayajawahi kutokea toka nchi ipate uhuru.

Doh ni kweli mkuu
 
Acha uongo wewe hujengi unabomoa Chama ongea tatizo litatuliwe.Propaganda hazina nafasi yale maandamano na mabango hukuyaona ulikuwa kipofu wa muda haya endelea kuwajaza ujinga ili upate ujira wako ila iko siku historia itakuhukumu.
 
Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa umeingia Kigoma tayari, ukianzia Wilaya ya Kakonko.

Hivi sasa ni mkutano wa kwanza Kijiji cha Muhange, Kata ya Muhange. Amepata mapokezi mazuri sana huku akina mama, watoto, vijana na wazee wako mkutanoni.

Mkutano wa pili utakuwa jioni Kakonko mjini.

Source:Afisa Habari CHADEMA Tumaini Makene

weka picha
 
Mkuu nimewasiliana na Kamanda mathew wa KG kaniambia kuwa ntwrk si nzuri sana hvyo ni vigum kuaplod pics, kwahiyo tuwe na subira had kesho atazitupia humu mapema.

Ila mkuu Shardcole nadhan umeambiwa jins slaa alivyokosa watu kabisa.

Tumaine makene anawachanganya. Mimi nipo kigoma, na alikuwepo mkuu Tuntemenke na tulikuwa na netwek ya uhakika inakuwaje yeye asipate?

Tunasubiri weke photoshop pic na sisi tutupie za ukweli
 
Hao wengine hawana weka wewe za kwako si upo eneo husika!
 
Last edited by a moderator:
Ila mkuu Shardcole nadhan umeambiwa jins slaa alivyokosa watu kabisa.

Tumaine makene anawachanganya. Mimi nipo kigoma, na alikuwepo mkuu Tuntemenke na tulikuwa na netwek ya uhakika inakuwaje yeye asipate?

Tunasubiri weke photoshop pic na sisi tutupie za ukweli

Sasa mkuu wewe si ulikuwepo eneo la tukio kwanini usiweke wewe hizo picha?
 
Last edited by a moderator:
Ila mkuu Shardcole nadhan umeambiwa jins slaa alivyokosa watu kabisa.

Tumaine makene anawachanganya. Mimi nipo kigoma, na alikuwepo mkuu Tuntemenke na tulikuwa na netwek ya uhakika inakuwaje yeye asipate?

Tunasubiri weke photoshop pic na sisi tutupie za ukweli
kw nn hujaweka hizo ulizoziona sasa?
Utapunguzwa kwenye bk 7,maake unabwatuka tu bila kupangilia uongo wako,
 
Last edited by a moderator:
Ila mkuu Shardcole nadhan umeambiwa jins slaa alivyokosa watu kabisa.

Tumaine makene anawachanganya. Mimi nipo kigoma, na alikuwepo mkuu Tuntemenke na tulikuwa na netwek ya uhakika inakuwaje yeye asipate?

Tunasubiri weke photoshop pic na sisi tutupie za ukweli
mkuu ficha upumbavu wako, tuntemeke jana alikuwakahama, leo yupo kigoma, na wewe pia upo kigoma, bilashaka mmetumwa kufuatilia kwa karibu ziara ya dr. slaa, inakuaje mdai picha wakati mpo eneo la tukio??
 
Mkuu nimewasiliana na Kamanda mathew wa KG kaniambia kuwa ntwrk si nzuri sana hvyo ni vigum kuaplod pics, kwahiyo tuwe na subira had kesho atazitupia humu mapema.
Teh teh teh mitandao yote?
 
Last edited by a moderator:
Ila mkuu Shardcole nadhan umeambiwa jins slaa alivyokosa watu kabisa.

Tumaine makene anawachanganya. Mimi nipo kigoma, na alikuwepo mkuu Tuntemenke na tulikuwa na netwek ya uhakika inakuwaje yeye asipate?

Tunasubiri weke photoshop pic na sisi tutupie za ukweli

Sasa Kamanda kama hivyo tunaomba utupie hizo ulizonazo.
 
Last edited by a moderator:
Sasa hivi wanatumia picha kutoka maktaba. kweli mbwai ishakuwa mbwai.

Unakeeeashaa jf ukisubiri CDM haohao wakupe picha uanze ujinga wako na wenzako, sasa hupewi picha ukitaka nenda Kigoma ukatupe picha na taarifa zote au ukitaka anzisha chama chako na gazeti lako.
Suala lisilokuhusu achana nalo, deal na mambo yanayokuhusu.
 
Hii ni aibu ya mwaka.
Hiki chama kimefika mwisho.

Zamani mapicha yalikuwa kedekede Leo hata ya mende hakuna. Duu!
imebuma.
 
Jina lako chuki linasadifu kuwa ww ni muajiriwa wa Lumumba na lei ndo upo shift ya night hadi asubuhi.
 
Last edited by a moderator:
We wsh all the best... 2015 lazma mafisadi wasepe/wasweke lumande kwa namna walivyotumia madaraka yao vbaya zaid ya miaka 40 ya kutawala kwao... kudadeki hebu subiri...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom