Unawashwa? Matola hadeal na mashoga.
Mkuu nashukuru kwa matusi yako mkuu, lakini hakuna sehem nliposema nakesha JF. Ila nashukuru kw matusi.
Huyu dogo Matola silaha yake ni matusi. hana hoja zaidi ya dharau matusi na kejeli.
Kama Mhe Tundu Lisu hayuko njema upstairs wewe wa chooni aka msalani utakuwa umejaza kinyesi, mende na nzi wengi upstairs...no wonder mnakimbilia misaada yenye masharti magumu ikiwemo kukubali kupuliwa ilihali mmejaaliwa utajiri wakila aina zikiwemo dhahabu, almasi, uranium, gesi, milima, mbuga za wanyama, maziwa, bahari na mito kedekede... wehu hamna maana kabisa katika nchi hii...mnaingia mikatakaba ya kingese mnaishia kuchoma moto pembe za ndovu badala ya kunegotiate kuuza ili ipatikana fedha za kuwalinda via tracking systems ...Kufikiri kwenu kwa kutumia ma------ mmesababisha nchi kutumbukizwa kwenye umasikini uliokithiri...malabuku !Tundu lissu hayuko vizuri upstairs!
Utamlaumu bure Makene hali mbaya Kigoma kamanda.
Hali ni mbaya kwa babayo & mamayo.
Nieleweke, sipo kigoma kwa ajili ya shughuli za chadema, pliz.
Mkuu umenikumbusha zile suti 5 jamaa alizohongwa na yule mwarabu.Kama Mhe Tundu Lisu hayuko njema upstairs wewe wa chooni aka msalani utakuwa umejaza kinyesi, mende na nzi wengi upstairs...no wonder mnakimbilia misaada yenye masharti magumu ikiwemo kukubali kupuliwa ilihali mmejaaliwa utajiri wakila aina zikiwemo dhahabu, almasi, uranium, gesi, milima, mbuga za wanyama, maziwa, bahari na mito kedekede... wehu hamna maana kabisa katika nchi hii...mnaingia mikatakaba ya kingese mnaishia kuchoma moto pembe za ndovu badala ya kunegotiate kuuza ili ipatikana fedha za kuwalinda via tracking systems ...Kufikiri kwenu kwa kutumia ma------ mmesababisha nchi kutumbukizwa kwenye umasikini uliokithiri...malabuku !
Kama Mhe Tundu Lisu hayuko njema upstairs wewe wa chooni aka msalani utakuwa umejaza kinyesi, mende na nzi wengi upstairs...no wonder mnakimbilia misaada yenye masharti magumu ikiwemo kukubali kupuliwa ilihali mmejaaliwa utajiri wakila aina zikiwemo dhahabu, almasi, uranium, gesi, milima, mbuga za wanyama, maziwa, bahari na mito kedekede... wehu hamna maana kabisa katika nchi hii...mnaingia mikatakaba ya kingese mnaishia kuchoma moto pembe za ndovu badala ya kunegotiate kuuza ili ipatikana fedha za kuwalinda via tracking systems ...Kufikiri kwenu kwa kutumia ma------ mmesababisha nchi kutumbukizwa kwenye umasikini uliokithiri...malabuku !
we Mliberalli shika ukuta kama kawaida yako....Chadema member! ni kiroba au gongo halafu wewe inaonekana ni wa Ngalolo (Unga Ltd)
hawachelewi kuweka ya mwaka juzi hao