Chama cha kitaifa kiongozi wake anaombewa kwa damu ya yesu, Mtoi uko wapi?
Kitabu gani mkuu?Lema anaandika kitabu.
Hasa huyu Matola,huyu jamaa ni kilaza sana.
Mkuu nashukuru kwa matusi yako mkuu, lakini hakuna sehem nliposema nakesha JF. Ila nashukuru kw matusi.
Kitabu gani mkuu?
Hakuna mwenye nguvu zaidi ya Chama, Chadema ni zaidi ya Zitto. wapi Mchungaji Msingwa wapi Kamanda Lema wapi Tundu Lissu wapi John Mnyika...
Chadema imefia mikononi mwenu.
Chadema jinsi wanvyokuwaga na mshawasha wa kutuma picha za mikutano yao ukiona kimya ujue KIMENUKA...
wakuu piteni link hizo hapo chini Molemo kama ulikuwa hakuna picha, usingetuletea ukiherehere wako hapa, ona sasa!!!
H@ki Ngowi: Dk Wilbrod Silaa aiteka Karatu...
KISIMA CHA FIKRA: Dk Slaa alipotua Karatu
aibu hiii.
cc Tumaini Makene Dr.W.Slaa Kurugenzi ya Habari Mungi Ben saa nane Yericko Nyerere
Matusi unayajuwa wewe kilaza?
Ukitaka kula lazima uliwe kwanza, source JK.
Sidhani kama bado mna bikira zenu.
hIVI KIGOMA TUNA WABUNGE WANGAPI, MADIWANI WANGAPI, VINYEVITI WANGAPI...KAMA ANAPENDWA MBONA AMESHWINDWA KUWASHAWISHI WANA KIGOMA KUCHAGUA WAGOMBEA WA CHADEMA....JE YEYE PAMOJA NA KUPIGIWA KAMPENI NA KIKWETE ALISHINDA KWA TOFAUTI YA KURA NGAPI....
Mkuu nashukuru kwa matusi