wewe hiyo presha umeipima saa ngapi?Na nina hakika wewe siyo daktariSiyo kweli kama ungepima presha ya slaa kwa sasa inaweza kufika hata 300 au zaidi zitto anampeleka puta jiulize kwa sasa slaa anapata shida kiasi hiki huku zitto hajaenda kigoma akienda itakuweje nadhani majibu unayo bila zitto hakuna chadema.
hIVI KIGOMA TUNA WABUNGE WANGAPI, MADIWANI WANGAPI, VINYEVITI WANGAPI...KAMA ANAPENDWA MBONA AMESHWINDWA KUWASHAWISHI WANA KIGOMA KUCHAGUA WAGOMBEA WA CHADEMA....JE YEYE PAMOJA NA KUPIGIWA KAMPENI NA KIKWETE ALISHINDA KWA TOFAUTI YA KURA NGAPI....Kuweka video itakuwa ngumu
1.kwanza watu wa CDM TV wameachwa DAR,
2.Makene hiyo kazi aiwezi
3.Jinsi wana kigoma wanvyompenda ZITTO ahaa kwa SLAA itakuwa ni aibu
Picha please kama hakuna hata zile za Lema
Makamanda Molemo na Tumaini Makene nawaomba kwa heshima ya chama msijihusishe kabisa na huu mtego wa kutumia picha za mwaka 2010. Wanaowaingiza mkenge huu ni wana CCM wanataka baadaye mje muaibike.
hIVI KIGOMA TUNA WABUNGE WANGAPI, MADIWANI WANGAPI, VINYEVITI WANGAPI...KAMA ANAPENDWA MBONA AMESHWINDWA KUWASHAWISHI WANA KIGOMA KUCHAGUA WAGOMBEA WA CHADEMA....JE YEYE PAMOJA NA KUPIGIWA KAMPENI NA KIKWETE ALISHINDA KWA TOFAUTI YA KURA NGAPI....
HahahahahahaJamaan picha zikowap?
Unaota bila kulalaNdoto zangu zitatimia pale magamba watakapong'oka madarakani.
huyu mama ndio kaharibu akili ya slaa, hawa wazinzi wawili ni wa kupiga mawe wote wawili wametelekeza watoto waopicha na: Maktaba yetu
View attachment 124991
Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa umeingia Kigoma tayari, ukianzia Wilaya ya Kakonko.
Hivi sasa ni mkutano wa kwanza Kijiji cha Muhange, Kata ya Muhange. Amepata mapokezi mazuri sana huku akina mama, watoto, vijana na wazee wako mkutanoni.
Mkutano wa pili utakuwa jioni Kakonko mjini.
Source:Afisa Mwandamizi Habari CHADEMA Tumaini Makene
pipooooooooooooooooozzzzz!!!!!, hakika mungu yu hai, wata sema, wata chonga sisi tuna songa mbele kama musa na wana wa izraeli..