Bepari
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 904
- 330
Wanachadema na wanamageuzi, mda huu mh dr slaa yupo jukwaani,
Kulikuwa na tatizo kidogo la kiufundi (mtandao) ndiomaana mkaona imeletwa picha tofauti,
Picha halisi na video za mkutano unaoendelea Kigoma zinaletwa punde tu, wataalamu wetu wanaendelea kuzi upload picha,
Tunaomba radhi kwa mkanganyiko uliojitokeza,
Propaganda za wapinzani wa ndani na nje haziwezi kutuondoa kwenye lengo la ukombozi wa Tanzania
Tatizo gani la mtandao linapost picha za zamani, halafu linachagua picha za mapokezi ya Slaa tu!! Mbona mtandao haukukosea ukatuma za JK?
Kweli hiki ni chama cha ulaghai...