tunalazimika
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 1,098
- 259
Sijawahi kuwa CHADEMA wala CCM.
The point is, kwanini mnakuwa walaghai namnah hii? Kwanini hiki unachokisema sasa hivi msingekisema kabla hamjaweka picha ya uongo?
Ikiwa CHADEMA mnashindwa kuwa wakweli kwa vitu vidogo, mnaweza kuaminika kwa issues kubwa na za msingi kweli?
Crashwise angalia usije wewe ukawa ndie Pimbi!
UNAWEZA KUDANGANYA -LAKINI HUWEZI KUDANGANYA KILA SIKU, huu mfumo ndo UTARATIBU wao wa kila siku lakini sas ni mwendelezo wa kuumbuka, huwezi AMINI kwenye zile picha za jana za KAHAMA zilizopigwa 2011 SLAAAAAHA aligonga LIKES kuashiiria ukweli yaan huyu mzee hajielewi