Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa umeingia Kigoma tayari, ukianzia Wilaya ya Kakonko.
Hivi sasa ni mkutano wa kwanza Kijiji cha Muhange, Kata ya Muhange. Amepata mapokezi mazuri sana huku akina mama, watoto, vijana na wazee wako mkutanoni.
Mkutano wa pili utakuwa jioni Kakonko mjini.
Source:Afisa Habari CHADEMA
Tumaini Makene[/QUOTE
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]
KWELI CHADEMA WAMEFILISIKA SANA, KIGOMA WAMESHINDWA KUPATA MAPOKEZI, BABU SLAA AMEJIFUNGIA GUEST CHINI YA ULINZI MKALI WA POLISI! SASA AJABU KWENYE GROUP LAO NA JF WANAWEKA PICHA ZA MWAKA 2010 ETI KUONYEHS MAPOKEZI YA SLAA KIGOMA! HIYO PICHA NDO WAMEWEKA ILA KIUKWELI HIYO PICHA NI YA MWAKA 2010 TENA SALAA AKIWA KARATU, FUATA HII LINK KUONA PICHA ZOTE ZA MWAKA 2010 AMBAZO CHADEMA WANASEMA NI ZA LEO Dk. Slaa akabidhiwa fomu, mapokezi Karatu yatia fora! - wavuti.com
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Source:
Dk. Slaa akabidhiwa fomu, mapokezi Karatu yatia fora! - wavuti.com