Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

Status
Not open for further replies.
Picha za Kigoma sio hizo! Yupo Tuntemeke Kigoma akiratibu ukweli!

Chadema kwa hili mmetia aibu kubwa ya mwaka! Molemo huna jipya na kwa hili umeaibika sana!

Shame on you Molema! Shame on you guys! Shame on your wrong party....chadema

shame on your mam........
 
Acheni lakini watu wote wakisoma watajua kuwa chadema ni chama cha kilaghai sana! Uongo ndio kazi yenu! Za mwizi arobaini, Leo mmeumbuka sana!

Siasa za kijinga sana hizi!

mjinga ninwewe usie na kazi unarusha makaliontu kama shoga...
 
Acheni lakini watu wote wakisoma watajua kuwa chadema ni chama cha kilaghai sana! Uongo ndio kazi yenu! Za mwizi arobaini, Leo mmeumbuka sana!

Siasa za kijinga sana hizi!
Hata za ukweli jana si mmezilabel kuwa ni za uongo twendeni kiuongo ungo hivyo hivyo tukipiga za leo ndiyo tuna weka....
 
Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa umeingia Kigoma tayari, ukianzia Wilaya ya Kakonko.

Hivi sasa ni mkutano wa kwanza Kijiji cha Muhange, Kata ya Muhange. Amepata mapokezi mazuri sana huku akina mama, watoto, vijana na wazee wako mkutanoni.

Mkutano wa pili utakuwa jioni Kakonko mjini.

Source:Afisa Mwandamizi Habari CHADEMA Tumaini Makene

Mbona umebandua picha? umeiona imeshtukiwa ni picha ya Karatu.

Uongo unawasaidia nini nyinyi? hivi hawa misukule wenzenu hawauoni huu uongo wenu?
 
nasikia hali ni tete wananchi wanamtaka zitto kabwe sasa dr.ajifunze kuwa chadema ni zitto aliyewashawishi watanzania wengi kujua upinzani
 
Wana Kigoma tunawaomba msiilamu Kamati Kuu ya chama kwa maamuzi ya kumvua Zitto nyadhifa za Uongozi. Wala msiwalumu Mwenyekiti Mbowe na Dr. Slaa pia. Mnapaswa kuwalaumu kwa kumwachilia Zitto kukivuruga chama kwa muda mrefu bila ya kumchukulia hatua stahiki. Hata wananchi wa kawaida kabisa walikuwa wanahoji ni vipi CDM wanamwacha Zitto avuruge chama namna ile? CCM watu wenye tabia za kiusaliti kama Zitto huwa wanawa - Kolimba, Ni heri Chadema wamemvua madaraka apate muda wa kujirekebisha
 
Chadema kimekufa kaka hizi siasa za majitaka hizi hazitasaidia chama wala Dr Slaa!

Mnaanza na Mungu kumaliza na shetani!

Aisee sikuwahi kuwaza kama ipo siku mtafikia stage hii CDM. Tuende wapi sasa? Ndio vuguvugu la mabadiliko (M4C)limeishia namna hii? Aibu ya mwaka
 
Chadema is a wrong party in a good country! Uongo ndio msingi wa maneno Yao! Leo wameumbuka sana!

Poleni sana kwa kuanza na shetani na kumaliza na shetani!
 
HIVI JAMAN MBONA MNATUFANYA SISI WATOTO WADOGO NAMNA HII? KWELI MAKENE UNAWEZA KUTUDHALILISHA KIASI HIKI KWA KUWEKA PICHA YA KARATU? THIS IS TOO MUCH NA NAHISI MODS MNAINTEREST KATIKA HILI. This is shameful kwakweli kutuwekea Picha ya miaka mingi as if hatuna records

Alokuwekea hiyo picha ndo muulize.
 
Wanachadema na wanamageuzi, mda huu mh dr slaa yupo jukwaani,

Kulikuwa na tatizo kidogo la kiufundi (mtandao) ndiomaana mkaona imeletwa picha tofauti,

Picha halisi na video za mkutano unaoendelea Kigoma zinaletwa punde tu, wataalamu wetu wanaendelea kuzi upload picha,

Tunaomba radhi kwa mkanganyiko uliojitokeza,


Propaganda za wapinzani wa ndani na nje haziwezi kutuondoa kwenye lengo la ukombozi wa Tanzania
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom