kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,355
- 13,458
Asije tu kuwa kaenda na sisimizi wake, watakwisha wote. Tuna hasira naye hadi basi, kisa cha kutuondolea raisi wetu?
Rais wenu wa nini?
Asije tu kuwa kaenda na sisimizi wake, watakwisha wote. Tuna hasira naye hadi basi, kisa cha kutuondolea raisi wetu?
Tuwekeni mapicha jamaani tena ikibidi Video kabisa..
Nini tena mkuu ? Huoni Dr anavyo funika?Huyo Zito wako Yuko wapi?Kwenye siasa hakuna kichwa ni swala la unawatu?Ataipata tu kazi inaendelea anadhani zitto ni mzee mwenzake kijan kichwa kizima anajua anachofanya ataaibika sana mwaka huu bora angerudi kwa mchumba wake walee mtoto wao kuliko kwenda kushuka hadhi kama inavyomkuta.
Siyo kweli kama ungepima presha ya slaa kwa sasa inaweza kufika hata 300 au zaidi zitto anampeleka puta jiulize kwa sasa slaa anapata shida kiasi hiki huku zitto hajaenda kigoma akienda itakuweje nadhani majibu unayo bila zitto hakuna chadema.Nini tena mkuu ? Huoni Dr anavyo funika?Huyo Zito wako Yuko wapi?Kwenye siasa hakuna kichwa ni swala la unawatu?
Unafikiri ni swala la uprofesa hapa?
Mjadala sio mjadara!!!!!!!!!!!!
or what exactly were you referring to!!!!!!!![/QUO
hasante sana mtaalam wa giswahili
Kama wewe huwezi kujua jambo wapo watu wanaweza kujua nikiwepo mimiumejuaje au na wewe ni mmoja wa walionunuliwa
Lema na Nassari pamoja na Mbowe nendeni mkamsaidie Dr. Slaa.Kutumikia chama chetu kwa nafasi nilizonazo.
Natumia nafasi yangu ya Ubunge na Uwaziri kivuli kuhakikisha kuwa chama kinapata taswira chanya mbele ya jamii, Na kinaleta mabadiliko ambayo chama tawala, yaani CCM, kinashindwa kuwafikishia wananchi. Utaona kwamba, kama unafuatilia Bunge, hakuna mkutano wa Bunge unaopita bila hoja mahususi inayojenga taswira chanya ya chama.
kama ndoto zako hazijatimia endelea kulala
kweli mkuu niwanafiki tu wasio liona hilo wakiwamo maccmChadema Moto wa Kuotea Mbali....
Kweli chadema moto kwa kupigana na ulaghai.kweli mkuu niwanafiki tu wasio liona hilo wakiwamo maccm
Tatizo la slaa ni kichwa ngumu aliambiwa kuwa utapata aibu akajifanya haelewi sasa yamempata.Chadema hali mgumu sana Kigoma sana Dr.Slaa anajuta mseme Zito hapa chini.
Lema na Nassari pamoja na Mbowe nendeni mkamsaidie Dr. Slaa.