Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,514
nataka wale wanafiki watolewe kwanza mkuu.hata mimi nimeshangaa imekuwaje siku hizi henge unaonekana na kabusara fulani! Malizia basi kabisa kwa kuvua gamba na kuvaa gwanda.

Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa umeingia Kigoma tayari, ukianzia Wilaya ya Kakonko.
Hivi sasa ni mkutano wa kwanza Kijiji cha Muhange, Kata ya Muhange. Amepata mapokezi mazuri sana ihuku akina mama, watoto, vijana na wazee wako mkutanoni.
Mkutano wa pili utakuwa jioni Kakonko mjini.
Source:Afisa Habari CHADEMA Tumaini Makene
Picha chini Kiongozi huyo Maruufu Nchini Akiingia Kigoma na kulakiwa na umati wa watu....
6gate hamjamuona alipo yupo Kinondoni nimemuona Kwa macho yangu anagonga pombe kali na thread anaziandikia pale counter,,,,kama niuongo aseme nithibitishe now
Molemo we ndo umeweka hii picha?Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa umeingia Kigoma tayari, ukianzia Wilaya ya Kakonko.
Hivi sasa ni mkutano wa kwanza Kijiji cha Muhange, Kata ya Muhange. Amepata mapokezi mazuri sana huku akina mama, watoto, vijana na wazee wako mkutanoni.
Mkutano wa pili utakuwa jioni Kakonko mjini.
Source:Afisa Habari CHADEMA Tumaini Makene
Picha chini Kiongozi huyo Maruufu Nchini Akiingia Kigoma na kulakiwa na umati wa watu....
Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa umeingia Kigoma tayari, ukianzia Wilaya ya Kakonko.
Hivi sasa ni mkutano wa kwanza Kijiji cha Muhange, Kata ya Muhange. Amepata mapokezi mazuri sana huku akina mama, watoto, vijana na wazee wako mkutanoni.
Mkutano wa pili utakuwa jioni Kakonko mjini.
Source:Afisa Habari CHADEMA Tumaini Makene
Picha chini Kiongozi huyo Maruufu Nchini Akiingia Kigoma na kulakiwa na umati wa watu....
HIVI JAMAN MBONA MNATUFANYA SISI WATOTO WADOGO NAMNA HII? KWELI MAKENE UNAWEZA KUTUDHALILISHA KIASI HIKI KWA KUWEKA PICHA YA KARATU? THIS IS TOO MUCH NA NAHISI MODS MNAINTEREST KATIKA HILI. This is shameful kwakweli kutuwekea Picha ya miaka mingi as if hatuna records
Wa shano ulagafa wi chaye. We si mtu Kigoma labda ulivamia inaonekana una hasira za kijingaWana Kigoma hawaamini katika ukabila, ukanda na udikiteta wa Mzee mwenye Kisukari Slaa na Mbowe midyenke
we una ulemavu wa macho !wako na mamayako!Aliongozana na mama Slaa?
HIVI JAMAN MBONA MNATUFANYA SISI WATOTO WADOGO NAMNA HII? KWELI MAKENE UNAWEZA KUTUDHALILISHA KIASI HIKI KWA KUWEKA PICHA YA KARATU? THIS IS TOO MUCH NA NAHISI MODS MNAINTEREST KATIKA HILI. This is shameful kwakweli kutuwekea Picha ya miaka mingi as if hatuna records
Mbinu zote mmeshindwa mmebaki na mbinu moja ya mwisho ya Serikali kujipinduwa yenyewe.
Nasubili kwa hamu hiyo drama.
Wa shano ulagafa wi chaye. We si mtu Kigoma labda ulivamia inaonekana una hasira za kijinga
siasa ya picha watanzania kweli tumelaaniwa