Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

Status
Not open for further replies.
Viva chadema ni mpango wa mungu,walikua wenyewe na petrol lakini walishindwa kuchoma ofice? Hahaha hakuna wa kushindana na chadema,,ukijaribu tu unaumbuka au unakufaa
 
Acha kuwa mjinga dogo, mimi kuwepo kigoma sijaenda kumpokea Dkt Slaa, nimeenda kwa ajili ya kazi wewe mbwiga.
..Aisee! kumbe una kazi nyingine? kumbe mnaruhusiwa kufanya na kazi nyingine?
 
Picha mkuu

Lete picha wewe si umesema upo Kigoma siku ya Tatu sasa, na nimekwambia tukutane Tawi la Chadema la Urusi, umepiga kimyaa. Nakushangaa mtu ambaye si wa Chadema unahangaika na mambo ya Chadema.
 
Ofisi mchome wenyewe, mtaendelea kuumbuka tuu. Wana Kigoma endeleeni kupinga ukabila na ukanda uliojaa Chadema.
 
msafara wa katibu mkuu wa chadema dkt. Wilbroad slaa umeingia kigoma tayari, ukianzia wilaya ya kakonko.

Hivi sasa ni mkutano wa kwanza kijiji cha muhange, kata ya muhange. Amepata mapokezi mazuri sana huku akina mama, watoto, vijana na wazee wako mkutanoni.

Mkutano wa pili utakuwa jioni kakonko mjini.

Source:afisa habari chadema Tumaini Makene

yani nyie mmeiasha kabisa hasa mlipo anza kuwa waongo kwa kuleta picha fake za karatu na kusema ni za kigoma.

Tunaomba mtu wekee picha za kigoma leo kama mna ubavu.

Hivi Kurugenzi ya Habari, Tumaini Makene na bavicha mtaacha lini uongo?
 
Last edited by a moderator:
Hajitambui huyu!naye anatumika tuu

Nyie endeleeni kugombana huku, mwenzenu nipo kwenye POLL, naendelea kushuhudia mlume anavyoendelea kushikishwa ukuta huku. Kweli imani ni tofauti na uhalisia! Jamaa alidhani anapendwa kumbe wengi walikuwa wanamdanganya tu. Kweli chukua za kwako, changanya na za mbayuwayu.
 
Waliowatuma kuichafua CHADEMA kwenye mitandao watakuwa na wakati mgumu sana! Tunasonga wao wanaleta propaganda!

tatizo vijana hawana ajira na wanatamani mambo makubwa kwa muda mfupi sana, anataka amiliki Range, nyumba gorofa tatu, wake watatu na mahawara kama 4 hii ndio inayotuletea shida!
 
mimi ni ccm mkuu ila sipendi propaganda za kijinga mnazoleta ninyi!

Hata mimi nimeshangaa imekuwaje siku hizi Henge unaonekana na kabusara fulani! Malizia basi kabisa kwa kuvua gamba na kuvaa gwanda.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom