Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

points tupu...naunga mkono hoja..kama ingekuwa ni mdahalo wa makatibu wa chama sawa but wangombea urais chadema bado...

Chezea chadema weye,mkuu huyo muwandaaji wa mdahalo hatarudia tena kukurupuka
 
CCM wameshafika zaidi ya 30, tuone kama CHADEMA baada ya Slaa atajitokeza mtu mwingine, akijitokeza unikate kidole.

Unategemea CHADEMA ifuate yanayofanywa na ccm? Utasubiri sana kijana. CHADEMA is smarter than ccm 10times dont try to compare.

Chama kimeshindwa kuandaa next president sasa kinapiga tu ramli ya msururu wa wagombea na jana waziri mkuu anasema jamani msiite wengine mafisadi maana sote tu wamoja.
 
Jana Niliukuta Uzi Unaozungumzia Huo Mdahalo, Nakumbuka Niliandika Kuwa Sitalajii Kumuona Dr Slaa Kwenye Mdahalo Huo Kwasababu Hauna Mantiki Nilihoji Kama Mdahalo Huo Unahusu Watangaza Nia Ni Mmoja Tu Kat Ya Wanne Alietangaza Kugombea Je! Wengine Wataulizwa Maswali Gani? Kama Unazungumzia Ukawa Je! Zito Anatafuta Nini?Kama Ni Viongozi Wa Vyama Na Mchakato Wa Urais Kwanini Ni Slaa Na Sio Mbowe? Nilizungumza Vile Ni Kwasababu Ninamuamini Sana Dr Nikiami Hawezi Kukurupuka, Naninashukulu Imani Yangu Haijaenda Bule, Ninimsubili Katika Mdahalo Wa Watangaza Nia Wa Ukawa Na Waliopitishwa Na Vyama Vyao, Wakituambia Wananchi Wananchi Wanazani Kwanini Wanafaa Kupepelusha Bendera Ukawa, Pia Kwenye Mdahalo Mkubwa Kat Ya Mgombea Wa Ukawa Na Mgombea Wa Ccm Kama Tu Ccm Watakuwa Tayali, Vivar Dr Slaa Vivar Ukawa Alunta Contnua!!!
 
Unategemea CHADEMA ifuate yanayofanywa na ccm? Utasubiri sana kijana. CHADEMA is smarter than ccm 10times dont try to compare.

Chama kimeshindwa kuandaa next president sasa kinapiga tu ramli ya msururu wa wagombea na jana waziri mkuu anasema jamani msiite wengine mafisadi maana sote tu wamoja.

Duu kwahiyo wote watupwe kwenye kapu moja la ufisadi
 
Huu mdahalo kama sijakosea tuliambiwa ni kwa watia nia ya kugombea uraisi, hivi Dr. Slaa angekwenda kwenye huo mdahalo kama nani? Kwani Dr. Slaa ametia/ametangaza nia? Zito Kabwe naye katia nia? Naombeni ufafanuzi hapa.

Mkuuu kwa wana lumumba wao wanachojali ni kumbwelambwela
 
mimi ndo maana nawapenda chadema ni watu wa kufuata miongozo na kanuni walizojiwekea ni sio kufuata shamrashamra za kisiasa.

ILANI HAMNA PILI MGOMBEA WA CHAMA HAJAJULIKANA sasa Dr.Slaa angeshiriki kama nani?

Umeona eeeh,cdm siyo watu wa kukurupuka kwenda kuuza sura wala kufuata bahasha za khaki
 
Siyo wagombea urais ndiyo wanaokwenda kwenye mdahalo, bali viongozi wa upinzani kujadili mchakato wa urais, inawezekana wewe hujui kinachoendelea kuhusiana na huo mdhalo huo

Kwa nini wasinikaribishe na mimi? Au walipeleka mwaliko CDM wakaambiwa Dr ndiye atahudhuria? Tuwe macho na huu usanii wa midahalo. Dada Mwakiwange yuko wapi yeye ndiye anayeweza fani hii.
Kama ni watia nia wa ACT wawe na wa kwao, CUF wa kwao, CDM wa kwao nk. Baadae mtia nia wa UKAWA akishapatikana apambanishwe na CCM. Mdahalo kwa watia nia wa UKAWA hauna faida kwa UKAWA utakuwa na faida kwa CCM!
 
Nadhani ingekuwa vyema ukatafuta watu wa level yako humu JF ili ujibizane nao. Maana mimi sio kabisa level yako, kwa akili yako ilivyodumaa hupaswi kuwa hata mwanafunzi wangu wewe.

Kuhusu elimu; nadhani ni vyema ukawauliza hawa wana elimu gani: Mbowe, Lema, Msigwa, Mnyika na Sugu.

Wewe ni kilaza tu,mtu aliye soma hawezi kujitapa mitandaoni,unajitapa iki iweje? Itakuongezea nini kwenye hiyo elimu yako? Hujitambui kabisa na kama ndiyo hiyo div 5 naona huitendei haki
 
mdahalo ulikuwa unalenga wagombea Uraisi kwa upande wa upinzani, kama ule wa ccm wiki mbili zilizopita. Lakini Zito amesema anagombea ubunge Kigoma mjini na Silaa hajasema lolote. inakuweje huyu Mafuriki kuwaita kama wagombea uraisi. Si asubiri mpaka vyama vikamilishe uchaguzi wa ndani. CCM ndiyo inayotakiwa kuandaa kama inataka kupima wagombea wake. CCM itaanda mdahalo na ukawa kama wanataka mgombea wao watandaa mdahalo watakaopatikana baada ya hapo ndiyo mafuriko aje na mdahalo wake ambao ni wa kitaifa. Siyo kujishughulishe na midahalo ya kichama. mafuriki ana pressure na kiherehere sana na hiyo midahalo yake. He is looking for cheap popularity

Point nyingi sana mkuu
 
Hahaa huyoooo ajabukweli kwani zitto mgombea? au ACT wamesha mpata mgombea? hana jipya silaha kajua mziki uliopo
 
Haiwezekani UKAWA wakaenda kuhojiana wenyewe kwa wenyewe mbele ya TV , hata Lipumba akienda nitamshangaa sana maana anajua kuwa UKAWA haijakamilisha mchakato wake wa ndani , sasa anaenda kuongea ilani ya UKAWA ama ya CUF?
 
Tulimuheshimu sana mfuruki Enzi zake sasa kasha isha kabisa unandaa mdahalo bila logic matokeo ya midahalo hiyo nini haswa yaani mizania ya anachotaka kusema nini akaombe utalaamu kwa akina Rosemary Mwakitwange aone mfano wa mada na midahalo inavyoandaliwa na utafutaji wa wazungumzaji , kushindwa kuandaa midahalo miwili inaonyesha akili zake zimesinyaa kwa sasa

Kachemka sana
 
Back
Top Bottom