wakati mwingine hakuna haja ya kubishana na makopo , hivi mkuu umeishia darasa la ngapi ? tuanzie hapo kwanza .
Nadhani ingekuwa vyema ukatafuta watu wa level yako humu JF ili ujibizane nao. Maana mimi sio kabisa level yako, kwa akili yako ilivyodumaa hupaswi kuwa hata mwanafunzi wangu wewe.
Kuhusu elimu; nadhani ni vyema ukawauliza hawa wana elimu gani: Mbowe, Lema, Msigwa, Mnyika na Sugu.