Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

Aiseee
Mbona mliongea sana Lowasa na wengine walivyokataa kuhudhuria
 
we ni chizi na mngese ....hebu nambie huo mdahalo unahusu nini ? muandaaji mdahalo anatakiwa kujipanga upya ...mdahalo unahusu wagombea urais ...act nyie mshatangaza mogombea wenu ? kama angealika vyama ni sawa yeye anataja watu kushiriki kwenye mdahalo kabla hata ya kuuliza taratibu za vyama vyao vikoje asubiri vyama vitangaze wagombea then awaite aone kama kuna udhuru utatolewa....halafu huwezi kumuita zito umpambanishe na slaa hao hawako level moja ...zito saizi zake ni kina mnyika sio slaa wote wagombea ubunge...

Acha ku-panick wewe mwanamke! Zitto ni tishio kubwa kwa kibabu chenu Slaa...asingekuwepo Zitto ni dhahiri kibabu chenu Slaa kingekimbilia huo mdahalo maana kile kizee kina kiherehere sana.
 
Swali langu-Huyu Mafuruki anapotangaza kuwa kwenye midahalo atakuwepo so and so...anakuwa amesha confirm nao au anakurupuka tu....It doesnt make sense eti Chair wa CEOs forum afanye upuuzi kama huu...yaani kushindwa ku set appointment
 
Acha ku-panick wewe mwanamke! Zitto ni tishio kubwa kwa kibabu chenu Slaa...asingekuwepo Zitto ni dhahiri kibabu chenu Slaa kingekimbilia huo mdahalo maana kile kizee kina kiherehere sana.

Mna haraka gani tunataka mdahalo wa viongozi wa UKAWA na CCM watakao chaguliwa kugombea urais hapa ndio tutajua zilongwa mbali zitendwa mbali.
 
Mi ninachokiona hapa huyu Mafuruki hazielewi vizuri au hata hazifatilii siaza za Tanzania zinavyokwenda.Huo mdahalo ni kichekesho.
 
CCM wameshafika zaidi ya 30, tuone kama CHADEMA baada ya Slaa atajitokeza mtu mwingine, akijitokeza unikate kidole.
CCM wanachekesha wanataka kuficha ufisadi wao wizi na ujambazi chini ya kapeti la watangaza nia they turned to be joke of the town aibu
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida chadema imekimbia mdahalo uliokuwa umeandaliwa kwa ajili ya kuelezea malengo na namna jinsi vyama vya upinzani vilivyojiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu,hali hiyo imekuja mara baad ya chadema kupata taarifa kuwa katika mdahalo huo atakuwepo kiongozi wa act wazalendo ndugu zitto kabwe,awali walikuwa wamekubali kuhudhuria lakini baada ya kupata taarifa ya zitto kushiriki wakakacha na kusingizia hawajaandaa ilani,sababu ya kutokuandaa ilani ni ya kipuuzi kwani mda wa uchaguzi umekaribia na wanasema hawajajipanga,lipumba athibitisha kushiriki

MODs FUTENI KABISA AU UNGANISHENI HUU UZI KWANI KUNA MWINGINE WA NAMNA HII UNAENDELEA VEMA, HUYU JOHN WA MARWA SIJUI KALAMBISHWA MAVI YA NANI UYU AMEKURUPUKA BALAA KULETA INFORMATION AMBAYO TAYARI INAEDELEA VEMA KUCHANGIWA UPANDE MWINGINE...
 
Kama msomi mbona ccm hamchukua awe mgombea uraisi wenu wote waliotangaza nia ni mafisadi ndo maana hata walikimbia mdahalo ambao ulikuwa wa wagombea uraisi wa ccm pekee yao?

Twamkaribisha akitaka kuja huku.
 
Kuwa na busara sio mchezo Dr. Slaa kutokubali mwaliko ni busara tosha, yeye ajataja kuomba nia, nyinyi mnamuunganisha na watia nia, hata hivyo nashangaa kumwingiza Zitto wakati umri wake bado na yeye amejinasibu kuwa mtia nia wa kiti cha ubunge ambao bado ndio size yake.
 
Acha ku-panick wewe mwanamke! Zitto ni tishio kubwa kwa kibabu chenu Slaa...asingekuwepo Zitto ni dhahiri kibabu chenu Slaa kingekimbilia huo mdahalo maana kile kizee kina kiherehere sana.

jaribu kwa na discpline,tumia lugha yenye staha.
 
Acha ku-panick wewe mwanamke! Zitto ni tishio kubwa kwa kibabu chenu Slaa...asingekuwepo Zitto ni dhahiri kibabu chenu Slaa kingekimbilia huo mdahalo maana kile kizee kina kiherehere sana.

Hivi kwa nini usitoe hoja yako bila negativities? Kwani hutaeleweka ndugu yagu? Jifunze kutoa kauli za kiungwana. You dont need to shout or to abuse anybody for you to convey your points. Halafu mkuu wewe ni mkongwe kwenye jukwaa hili. Iwould expect that from cheap people. By the way kutofautiana kiitikadi sio ugomvi au uadui. Its health for our democracy.
 
Bwana Mafuruki ana haraka sana, dhamira take ni njema nasi wananchi tunaiunga mkono ila awe mpole kwanza mpaka mikiki mikiki ndani ya vyama iishe, wagombea uraisi,ubunge na udiwani kwa kila chama wakifahamika basi midahalo itaweza kuanza rasmi
 
hakuna wa kupanic mi naongelea fact ......slaa akienda pale ningekuwa wa kwanza kumshambulia....inaamaanisha angeanza kujipigia debe la urais chadema huku muda haujafika ....kama muandaajia anataka kuitisha midahalo hiyo basi aitishe mdahalo wa watia nia wa chadema mda ukifika then baadae aje aitishe wa ukawa na ikiwezekana aitishe wa vyama vyote pindi wakipata wagombea wao......kumuita slaa kwenye mdahalo ni sawa na kumuita membe ukawaacha watia nia wengine kwenye ccm....lipumba keshatangaza kugombea tena yuko peke ake cuf ni haki yake kwenda.....chadema ratiba yao bado .....tuongelee fact tusishabikie mambo.....kama lengo ni mdahalo wa vyama basi atoe mualiko kwa vyama ......hapo chama kingetafuta mtu wa kwenda pale
 
Acha ku-panick wewe mwanamke! Zitto ni tishio kubwa kwa kibabu chenu Slaa...asingekuwepo Zitto ni dhahiri kibabu chenu Slaa kingekimbilia huo mdahalo maana kile kizee kina kiherehere sana.

Wee NDOROBO, UYO ZITTO WAKO AMTISHE NANI UYO NI MSALITI ANAYETAMBULIWA ATA NA WATOTO?? NA SASA KASHAZOEA KUZOMEWA ATA NA WATOTO WADOGO. NI MAARUFU ZAIDI UKO KWAO TU MWANDIGA,
 
CCM wameshafika zaidi ya 30, tuone kama CHADEMA baada ya Slaa atajitokeza mtu mwingine, akijitokeza unikate kidole.

Kufika watu 30 kugombea urais hata wale waliotakiwa kuwa segerea wakitimikia kifungo kuchukua fomu za urais wallah hizi nia dharau kubwa sana kwa watanzania.
 
Acha ku-panick wewe mwanamke! Zitto ni tishio kubwa kwa kibabu chenu Slaa...asingekuwepo Zitto ni dhahiri kibabu chenu Slaa kingekimbilia huo mdahalo maana kile kizee kina kiherehere sana.
uwezo wa zitto haufiki hata robo ya Dr Slaa , hivi mtu ambaye anafikia kiwango cha kujadiliana na hatimaye kukubaliana na viongozi wa ccm kubadilishana jimbo ana uwezo gani ? subiri moto uwake ndio utajua uwezo wa Dr Slaa .
 
Back
Top Bottom