Hakuna magumashi Huu ni mwaka wa uchaguzi wananchi wana haki ya kusikiliza Sera na namna ambavyo vyama vya upinzani nchini walivyojipanga kutatua kero za wananchi
Mwaandaaji akifikia kutangaza tarehe ya mdahalo na mada na wazungumzaji na hafiki lengo ujue yeye mwenyewe hajajiandaa na maandalizi ni magumashi hao walioalikwa wameshashiriki midahalo iliyoandaliwa kwa nidhamu na utaratibu wakimdahalo na kurushwa na vyombo vinavyosikika nchi nzima sasa ALLY Mfuruki anashindwa kwa mara ya pili kumobilise wazungumzaji ni kosa hapo