Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

Unaelekea umebanwa nenda chooni ,upinzani unaorodha ya wachumi wote au unaweweseka tu

Wachumi upinzani?kuna mchumi gani zaidi ya Prof Lipumba?
kwenye upizani kuna mtu mmoja tu, Lipumba.

Dr Slaa msomi wa agano jipya

Mbowe msomi wa form 4

Msigwa msomi wa agano jipya, darasa la 7

Sugu msomi wa form 4

Lema msomi wa form 2

Mnyika msomi wa form 6

Afadhari Lissu msomi wa sheria

Sasa wa uchumi nani huko?
 
hakuna wa kupanic mi naongelea fact ......slaa akienda pale ningekuwa wa kwanza kumshambulia....inaamaanisha angeanza kujipigia debe la urais chadema huku muda haujafika ....kama muandaajia anataka kuitisha midahalo hiyo basi aitishe mdahalo wa watia nia wa chadema mda ukifika then baadae aje aitishe wa ukawa na ikiwezekana aitishe wa vyama vyote pindi wakipata wagombea wao......kumuita slaa kwenye mdahalo ni sawa na kumuita membe ukawaacha watia nia wengine kwenye ccm....lipumba keshatangaza kugombea tena yuko peke ake cuf ni haki yake kwenda.....chadema ratiba yao bado .....tuongelee fact tusishabikie mambo.....kama lengo ni mdahalo wa vyama basi atoe mualiko kwa vyama ......hapo chama kingetafuta mtu wa kwenda pale

Mkuu usipotoshe watu tuwekane sawa,
1.Mdahalo haukuwa wa wagombea binafsi kujipamba kwa ajili ya kuelezea nini watafanya wakichaguliwa,so hilo la Slaa kujipigia debe kama angelifanya angekuwa ametaka mwenyewe na hapo ndio angekuwa amecheza rafu
2.Mdahalo ni wa kuelezea mchakato wa uchaguzi mkuu kiujumla na vyama vimejiandaaje,ndio mana wakaitwa viongozi.
3.Umemtaja Lipumba kuwa keshatangaza nia ndio maana kakubali Mbona humtaji ZZK aliyekubali huku kila mtanzania akijua kuwa ZZK hawezi kugombea urais mwaka huu???
 
Mkuu yes huwa ana confirm nao,Dr Slaa likubali vizuri wakati huo Zitto haja confirm,alipo confirm ZZK kushiriki Dr alipopata taarifa hakuwa na jinsi ila ni kubadili uamuzi wa awali

Kwi kwi kwi Zitto anapandishwa chati kwa mgongo wa Dr Slaa ambaye haihitaji CV yake kupandishwa kupitiamidahalo siyoandaliwa kwa ustadi Zitto hakuna kitu maishani ambacho amewahi kukifanikisha alishindwa kuua chadema pomoja na kuwa na support ya TISS,CCM,Wassira ,Mwigulu ,Kitila leo unambananisha na jina kuu Tanzania DR Slaa
 
Anachokiweza Dr Slaa ni kulipua mabomu,even a fool can do that,ila uchumi hana uwezo.

Nadhan wamesahau Mrema alivyokuwa analipua mabomu, kama Dr Slaa.Sasa alivyopelekwa mdahalo ndipo alipoonyesha jinsi asivyojua lolote.Hii ndio aibu aliyoikimbia Dr Slaa.

Kusimama na Prof Lipumba kwenye mdahalo wa uchumi na kujitafutia aibu za bure.
 
Mnaoona leo Dr Slaa hawezi kujenga hoja ni nyinyi mliokunywa maji ya Bendera ya chadema sisi tunaopambanua mambo Independently tunajua toka zamani kuwa hana uwezo huo hasa akipambanishwa na wenye uwezo.Wewe kataa hadi asubuhi ila Dr Slaa hamuwezi ZZK kwa hoja.
Hatubishani na watu waliogua unyafuzi wa ubongo sasa unataka tuamini ya kwako kwa sababu wewe ni fuasi wa zitto ,zitto aliyebebwa na chadema maisha yake yote katemwa na kapotea kwenye anga za siasa hadi mwandiga wanazomea tu
 
Nadhan wamesahau Mrema alivyokuwa analipua mabomu, kama Dr Slaa.Sasa alivyopelekwa mdahalo ndipo alipoonyesha jinsi asivyojua lolote.Hii ndio aibu aliyoikimbia Dr Slaa.

Kusimama na Prof Lipumba kwenye mdahalo wa uchumi na kujitafutia aibu za bure.

Si ndio anachofanya zitto analia na kupenga makamasi eti escrow yake sio ya kafulila anaweza mdahalo mtu kama huyo kweli mpaka anadandia mada ya kafulila
 
Mkuu yes huwa ana confirm nao,Dr Slaa likubali vizuri wakati huo Zitto haja confirm,alipo confirm ZZK kushiriki Dr alipopata taarifa hakuwa na jinsi ila ni kubadili uamuzi wa awali

Una evidence ya hilo?

Dr ni mtu makini sana....yeye sio aspirant wa Urais......Na sio calliber yake kujikweza na kujiweka mbele katika vitu ambavyo taasisi haijampendekeza......Majibu ya Dr ni majibu sahihi zaidi.....By the way.....Mafuruki ameandika 2nd Presidential aspirants debate...Nikuulize; Dr slaa ni aspirant wa urais? Makaidi ni aspirant wa urais? Zitto ni aspirant wa Urais?
 
Dr hajawahi kukacha midahalo hata siku moja ila wanamwita kama nani maana hajateuliwa na chama wala hajatangaza nia au kina Mafuruki wanaita mdahalo wa kina nani hasa makatibu watia nia viongozi wakuu wa vyama au nani kama ni viongozi wangalimuita Kinana Mtikila Mbatia nk.Tatizo ni waandaaji hawako defined na nasikia kuna kiingilio.Hata mimi mwenyewe zitto hana uchumi wa kunidanganya, ujue kuna issue ya kufahamu na issue ya kuwa kwenye nafasi ya kuongea kwenye media lakini inaonekana kama zitto kasoma kweli kuliko kila mtu ,ni mchumi wa hatari sijui hii dhana ya kitoto inatoka wapi. Lipuba unaweza kukubali kwamba amesoma na ameprectice katika level za juu. Hivi kama umeusoma uchumi vizuri unaweza kuanzisha sera ya ujamaa na azimio la arusha is it practical?tusipotezeane muda ,
Mkuu usipanic
1.Ok,achana na Lipumba tumfanye special case kwa kuwa ni Prof wa uchumi.Dr Slaa na ZZK unawaweka kundi moja kwa knowledge ya uchumi?? hata kama Zitto anameza theory kwa nini Dr nae hawezi hata kumeza?? Kumbuka hata Obama sio Mchumi ila anawekwa chini na wachumi wake anaelezewa then yeye anakwenda kuongea kwa media atafanya nini kuinua uchumi.Sasa Dr kwa nini hawezi?
2.Aliyekwambia huwezi kuanzisha sera za ujamaa na Azimio la Arusha sio practical ni nani? mbona unafosi unachokiamini wewe ndio kiwe right? Hakuna Taifa lililoendelea kwa kuwa na watu wanaofanana mawazo,ndio mana wewe unayeamini haiwezekani unatakiwa ukaelezee wananchi wakuelewe na anayesema inawezekana naye afanye hivo then wananchi waamue,atakayepata nafasi afanye Implementation.
 
Mdahalo wowote lazima uwe na end result huwezi kuita watu tu ili wakasemeseme tu bila kuwa na kina cha nini unataka yawe matokeo ALLY Mfuruki anataka kuandaa vitu bila vina huo si mdahalo labda dialogue majadiliano sijui tuseme alitaka kuweka nini hakuweka terms of reference zinazoeleweka baada ya kushindwa kuandaa midahalo miwili kuiandaa kisayansi arudi aandae kitu kinachoeleweka
Slow down unavovisema vyote vipo na bado Dr akasepa.
 
Una evidence ya hilo?

Dr ni mtu makini sana....yeye sio aspirant wa Urais......Na sio calliber yake kujikweza na kujiweka mbele katika vitu ambavyo taasisi haijampendekeza......Majibu ya Dr ni majibu sahihi zaidi.....By the way.....Mafuruki ameandika 2nd Presidential aspirants debate...Nikuulize; Dr slaa ni aspirant wa urais? Makaidi ni aspirant wa urais? Zitto ni aspirant wa Urais?

Ukifuata maana halisi ya Aspirant kwa umakini,YES they are all Presidential Aspirants no matter wametangaza nia mwaka huu or not.
 
We acha matusi,
Mdahalo hausemi walioitwa ni wagombea bali ni viongozi tu wa vyama husika,kwani hata ZZK hagombei lakini kaitwa.Mdahalo ni wa kujadili hali ya uchaguzi na jinsi vyama vilivyojiandaa,sasa hapo kuna haja gani ya Dr Slaa kuanza kuleta visingizio.???

Lengo la kumwita Dr Slaa ni nini? mtu mzima wewe uwe na weledi usiwe na mawazo ya kushikiwa. Dr amerudi juzi tu hapa mambo muhimu ya chama na UKAWA yapo mezani CCM hawakuwa na muda iweje umualike katibu mkuu mwenye majukumu mengi namna hiyo kwa sasa lazima uwe foolish kwa maana huelewi jinsi watu wanvyohangaika na muda hautoshi mdahalo wa kipuuzi watahudhuria watu wa aina hiyohiyo. kuna mengi ya kufanya mda huu.= usitutoe kwenye reli Mafuruki awaandalie mdahalo Shein na Seif
 
Hatubishani na watu waliogua unyafuzi wa ubongo sasa unataka tuamini ya kwako kwa sababu wewe ni fuasi wa zitto ,zitto aliyebebwa na chadema maisha yake yote katemwa na kapotea kwenye anga za siasa hadi mwandiga wanazomea tu
1.Waliougua unyafuzi wa ubongo(hakukua na haja ya kutukana)
2.Aliyebebwa na chadema maisha yake yote(Nae alikibeba chadema to the level it is today)
3.Mwandinga wanamzomea(unaleta maneno ya mkumbo na kusadikika)
Kama unaweza kuongea yote hayo ni bora nikuache kwa sasa hadi utakapoongeza kiwango ndugu,kwa sasa bado.
 
Lengo la kumwita Dr Slaa ni nini? mtu mzima wewe uwe na weledi usiwe na mawazo ya kushikiwa. Dr amerudi juzi tu hapa mambo muhimu ya chama na UKAWA yapo mezani CCM hawakuwa na muda iweje umualike katibu mkuu mwenye majukumu mengi namna hiyo kwa sasa lazima uwe foolish kwa maana huelewi jinsi watu wanvyohangaika na muda hautoshi mdahalo wa kipuuzi watahudhuria watu wa aina hiyohiyo. kuna mengi ya kufanya mda huu.= usitutoe kwenye reli Mafuruki awaandalie mdahalo Shein na Seif
1.Katibu Mkuu mwenye majukumu mengi.....Usisahau rais anatakiwa awe na uwezo wa ku-handle multi-tasks
2.Mdahalo wa kipuuzi watahuduria watu wa aina hiyo...Kwa uelewa wangu wa ulichoakiandika ni kuwa unaniambia Lipumba ni Mpuuzi
 
Kwi kwi kwi Zitto anapandishwa chati kwa mgongo wa Dr Slaa ambaye haihitaji CV yake kupandishwa kupitiamidahalo siyoandaliwa kwa ustadi Zitto hakuna kitu maishani ambacho amewahi kukifanikisha alishindwa kuua chadema pomoja na kuwa na support ya TISS,CCM,Wassira ,Mwigulu ,Kitila leo unambananisha na jina kuu Tanzania DR Slaa
Kumsimamisha Dr Slaa na ZZK kuzungumzia uchumi ni kumtafutia Slaa aibu
 
Ukifuata maana halisi ya Aspirant kwa umakini,YES they are all Presidential Aspirants no matter wametangaza nia mwaka huu or not.

Hapa tunazungumzia Ishu Current Kuelekea uchaguzi wa Urais october 2015 ndio maana Mdahalo unafanyika sasa kwanini haukufanyika mwaka jana au Juzi usilete akili za Chura hapa. Huo mdahalo ni maalumu kwa ajili ya 2015 over peleka pumba zako huko
 
Hapa mnazunguka lakini point ya msingi ni kumuepusha Slaa kuonekana dhaifu koz sioni Slaa akiwa ni mjenga hoja mzuri kumzidi Prof Ibrahim au ZZK(huo ndio ukweli mpinge mpaka Roma).Hivi mnafikiri Lowasa alipotangaza mapema kutoshiriki sababu ilikuwa nini? anajijua kabisa kwamba ukimsimamisha Lowasa na January wajiuze kwenye debates Lowasa ataonekana box hadi kunakucha.

hahahaha nenda kwa makinda uombe hansard za dr.slaa bungeni ndio utaelewa zile nondo na ndipo utakapoelewa kwann watu wanamwita Rais hata kabla ya kuapishwa
 
Back
Top Bottom