Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

Yule atakaekutana na slaa awe ameteuliwa na ccm kugombea si watangaza nia
 
Hivi elimu ya Dr slaa unaifananisha na ya nani?

Unamaana elimu ya Agano Jipya?sasa ingemsaidia nin kwenye mdahalo wa Uchumi?

Sijashangaa kwa Dr Slaa kukimbia maana ni heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
Katika hali ya kushangaza chadema imemshinikiza lipumba kuwa kama anataka kuendelea kushirikiana nao kwenye ukawa basi asiende kuhudhuria mdahalo wa leo ambao utawashirikisha viongozi wa vyama vya siasa kisa tu kwamba katika mdahalo huo zitto naye ni mwalikwa.

Baada ya Slaa kumwambia maneno hayo Lipumba Lipumba amejibu kwa kauli moja tu kuwa yeye sio mtu wa kuburuzwa na kuamuliwa rafiki au adui, pia amesisitiza kuwa lazima aende kwani yeye ni mgombea na hajawahi kufikiria kufanya siasa ya chuki kama anavyofanya yeye slaa, tukumbuke CHADEMA na NCCR wote walialikwa wakakubali kufika ila baada ya kusikia Zitto ni mwalikwa pia wote wamekimbia.
 
Katika hali ya kushangaza chadema imemshinikiza lipumba kuwa kama anataka kuendelea kushirikiana nao kwenye ukawa basi asiende kuhudhuria mdahalo wa leo ambao utawashirikisha viongozi wa vyama vya siasa kisa tu kwamba katika mdahalo huo zitto naye ni mwalikwa,baada ya slaa kumwambia maneno hayo lipumba lipumba amejibu kwa kauli moha tu kuwa yeye sio mtu wa kuburuzwa na kuamuliwa rafiki au adui,pia amesisitiza kuwa lazima aende kwani yeye ni mgombea na hajawahi kufikiria kufanya siasa ya chuki kama anavyofanya yeye slaa,tukumbuke chadema na nccr wote walialikwa wakakubali kufika ila baada ya kusikia zito ni mwalikwa pia wote wamekimbia
Umemsikia Kafulila lakini?!
 
Hakuwa na la kuongea pale bora alivyo kimbia! U Docta wa elimu za Bible ataongea nini!
unaelekea ulitokea ambako hawatokei watoto wote wanapozaliwa unalaana wewe na kizazi chako chote bazazi mkubwa usidharau bibilia hata siku moja jinni wewe
 
Unamaana elimu ya Agano Jipya?sasa ingemsaidia nin kwenye mdahalo wa Uchumi?

Sijashangaa kwa Dr Slaa kukimbia maana ni heri nusu shari kuliko shari kamili.
ALLY MFURUKI ameweka quran ichambuliwe ndio kilichomponza
 
Katika hali ya kushangaza chadema imemshinikiza lipumba kuwa kama anataka kuendelea kushirikiana nao kwenye ukawa basi asiende kuhudhuria mdahalo wa leo ambao utawashirikisha viongozi wa vyama vya siasa kisa tu kwamba katika mdahalo huo zitto naye ni mwalikwa,baada ya slaa kumwambia maneno hayo lipumba lipumba amejibu kwa kauli moha tu kuwa yeye sio mtu wa kuburuzwa na kuamuliwa rafiki au adui,pia amesisitiza kuwa lazima aende kwani yeye ni mgombea na hajawahi kufikiria kufanya siasa ya chuki kama anavyofanya yeye slaa,tukumbuke chadema na nccr wote walialikwa wakakubali kufika ila baada ya kusikia zito ni mwalikwa pia wote wamekimbia

Sasa naanza kuuona umuhimu wa ile sheria ya mtandao, utatusaidia kuondokana na mada za walevi kama hawa.
 
Mdahalo wa kuwahusisha wapinzani watupu ni noma sana. Ni mbinu ya maadui! Tuwe na mdahalo kati ya CCM na UKAWA na si vinginevyo. Midahalo mingine haina maana kabisa!
 
Katika hali ya kushangaza chadema imemshinikiza lipumba kuwa kama anataka kuendelea kushirikiana nao kwenye ukawa basi asiende kuhudhuria mdahalo wa leo ambao utawashirikisha viongozi wa vyama vya siasa kisa tu kwamba katika mdahalo huo zitto naye ni mwalikwa,baada ya slaa kumwambia maneno hayo lipumba lipumba amejibu kwa kauli moha tu kuwa yeye sio mtu wa kuburuzwa na kuamuliwa rafiki au adui,pia amesisitiza kuwa lazima aende kwani yeye ni mgombea na hajawahi kufikiria kufanya siasa ya chuki kama anavyofanya yeye slaa,tukumbuke chadema na nccr wote walialikwa wakakubali kufika ila baada ya kusikia zito ni mwalikwa pia wote wamekimbia

Kweli jogoo akizeeka anataga yai..! Katibu (wa kuteuliwa) anataka kumburuza mwenyekiti wake (wakuchaguliwa)?
 
Back
Top Bottom