Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

Hapa tunazungumzia Ishu Current Kuelekea uchaguzi wa Urais october 2015 ndio maana Mdahalo unafanyika sasa kwanini haukufanyika mwaka jana au Juzi usilete akili za Chura hapa. Huo mdahalo ni maalumu kwa ajili ya 2015 over peleka pumba zako huko
Ukishaanza matusi tu na-conclude wewe huna level ya ku-argue na mimi,Kaongeze kiwango na ukirudi umwambie Dr aache kukumbia midahal😵ne day he will have to face ZZK in the debates.
 
kinana alimkimbia dr.slaa pale itv...akaja nape kutoa udhuru.et kinana anaumwa
wasubir tu.midahalo itafanyika ila sio kumuweka msalit ayatolanga zzk maana yy anacheza ngoma ya ccm
 
Ukifuata maana halisi ya Aspirant kwa umakini,YES they are all Presidential Aspirants no matter wametangaza nia mwaka huu or not.

Dr slaa ni aspirant wa mwaka gani?

Makaidi ni aspirant wa mwaka gani?

Kuhusu huyo zito ambaye kuna uwezekano mkubwa kuwa ni wewe.....anafahamika...yeye ni aspirant wa kuwa hata Rais wa Dunia nzima...Pia ni aspirant wa kuwa MUNGU
 
Hapo ulipoandika kuhusu Zitto ndipo ulipoacha emotions na kutumia vizuri maana ya neno Aspirant,ilipaswa ufanye hivo toka mwanzo maswali uliyouliza yangejijibu.
 
Hii tabia ya watu kukwepa midahalo ni ugonjwa mbaya sana hapa Tanzania.Wananchi tupewe fursa ya kuwasikiliza mnataka kutufanyia nini.sababu alizotoa Dr.Slaa hazina msingi.siyo lazima atusomee ilani ya chadema kwenye mdahalo.yeye kama Katibu mkuu angetueleza matarajio ya Chama pamoja na mipango ya ushindi.hii ingetosha.na si kila swali lazima ajibu.wanafikiri wanafanya political game lakini kikuweli wanakosea sana.
 
Kumsimamisha Dr Slaa na ZZK kuzungumzia uchumi ni kumtafutia Slaa aibu

Lakini kumsimamisha Dr slaa na Zito kuzungumzia level ya "Trustworthy" na "Utii" na "Uwajibikaji" na "Uongozi bora" ni kumtafutia aibu nani?

By the way...kukujibu tu....You dont need an economist to lead the nation...You need a visionary,Committed,Trustworthy,Responsible and serious leader to lead the nation
 
Hii tabia ya watu kukwepa midahalo ni ugonjwa mbaya sana hapa Tanzania.Wananchi tupewe fursa ya kuwasikiliza mnataka kutufanyia nini.sababu alizotoa Dr.Slaa hazina msingi.siyo lazima atusomee ilani ya chadema kwenye mdahalo.yeye kama Katibu mkuu angetueleza matarajio ya Chama pamoja na mipango ya ushindi.hii ingetosha.na si kila swali lazima ajibu.wanafikiri wanafanya political game lakini kikuweli wanakosea sana.

Nikuulize Dr Slaa ni aspirant wa Urais? Kwa sababu mdahalo unaitwa 2nd Presidential Aspirants debate.
 
Hapo ulipoandika kuhusu Zitto ndipo ulipoacha emotions na kutumia vizuri maana ya neno Aspirant,ilipaswa ufanye hivo toka mwanzo maswali uliyouliza yangejijibu.

Let the fact be told....Dr ni mtu makini...sio mtu wa kukurupuka...Its well known hata kwako wewe
 
Hapa tunazungumzia Ishu Current Kuelekea uchaguzi wa Urais october 2015 ndio maana Mdahalo unafanyika sasa kwanini haukufanyika mwaka jana au Juzi usilete akili za Chura hapa. Huo mdahalo ni maalumu kwa ajili ya 2015 over peleka pumba zako huko

Mkuu kama unamfahamu vizuri Msaliti Mkuu...read between the lines kwa maandishi ya huyo jamaa
 
1.Katibu Mkuu mwenye majukumu mengi.....Usisahau rais anatakiwa awe na uwezo wa ku-handle multi-tasks

Dr Slaa hajawahi kutamka mahali popote pale kwamba anautaka Urais wa Tanzania......Hayo ya yeye kutaka kuwa rais umeyatoa wapi?
 
Maana yake ni wagombea Urais au wanatajajiwa kugombea Urais Mkuu Ng'wale

Ooohhh!!! ulikua na maana ya Presidential aspirants!!! Ungeandika kiswahili, ona sasa ulichokiandika "presidents astraints"
 
Dr Slaa hajawahi kutamka mahali popote pale kwamba anautaka Urais wa Tanzania......Hayo ya yeye kutaka kuwa rais umeyatoa wapi?
Wakati mwingine pro-Chadema mnachekesha sana Dr.Slaa ndiyo mgombea urais wa kudumu wa Chadema.
 
Hapa tunazungumzia Ishu Current Kuelekea uchaguzi wa Urais october 2015 ndio maana Mdahalo unafanyika sasa kwanini haukufanyika mwaka jana au Juzi usilete akili za Chura hapa. Huo mdahalo ni maalumu kwa ajili ya 2015 over peleka pumba zako huko

Mkuu nimeisoma comment yako kwa Independent-Mind hoja yako ina mashiko kwamba tunazungumzia watangaza nia wa mwaka huu 2015 na yeye anaturudisha hadi kwa wale waliotangaza nia mwaka 2010, tuko pamoja kabisa mkuu issue ni hii iliyo mezani sasa kuelekea October 2015. Hoja yako ina nguvu tayari hukuwa na haja hata ya kuongezea hayo majina ya chura, pumba nk.
 
Wakati mwingine pro-Chadema mnachekesha sana Dr.Slaa ndiyo mgombea urais wa kudumu wa Chadema.

ni kipimo cha uadilifu kwa mtu kutoa source ya declaration kama hiyo hapo juu (red) ambayo origin yake siyo wewe mchangiaji.

watu wenye hekma au waliosoma shule wakaelimika ndivyo wanavyofanywa.
 
Wakati mwingine pro-Chadema mnachekesha sana Dr.Slaa ndiyo mgombea urais wa kudumu wa Chadema.

Nani aliyetangaza hilo?

Kudumu kivipi?

Dr Amegombea mara moja tu.

Na CHADEMA haijatangaza mgombea wake?

We haya maneno umeyatoa wapi?

Umekula maharage ya wapi Mohddd?
 
Ila tujitahidi kuangalia na hii mijadala inayoandaliwa na hizi asasi naiona ni ya kibiashara zaidi.
 
Dr Slaa hajawahi kutamka mahali popote pale kwamba anautaka Urais wa Tanzania......Hayo ya yeye kutaka kuwa rais umeyatoa wapi?

mkuu, mtu kama Mufuruki ambaye ndiye kinara wa CEOs wote hapa Tanzania kukosa umakini kwa jinsi hii ni aibu.

uhovyohovyo wa kiutendaji kwenye serikali hii ya CCM unachangiwa pia kwa kiasi kikubwa na kukosekana kwa changamoto za msukumo kutoka kwenye private sector ambayo CEOs wake ndio hawa wakurupukaji!
 
Back
Top Bottom