Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,909
Ndoroooboe
Soma vyema majibu ya Dr Slaa vizuri uelewe sio kujaa mihemuko tuu humu. Hata post za wengine zingekufanya uelewe lakini inaonyesha huwezi kuelewa kitu zaidi ya mihemko.
Alichokifanya Dr Slaa watu wote wenye akili wamegundua kuwa ni mtu makini sana kwa kila afanyalo tofauti na yule ambaye tayari kila siku anajitangaza kwenye kurasa zake FB na Twitter kuhusu mdahalo huo ili atoke kwa mgongo wa Slaa.
Hata huyo muandaaji si angeita akina Zitto na viongozi wenzake wa vyama visivyo na madiwani wala wabunge maana hao ndio saizi yake
Ukunguni wake ni nini? Mtu kawasilisha mada, matusi ya nini?mtoa mada kunguni wewe
Mdahalo utakaorushwa kesho kuanzia saa 1 hadi saa 4 na Azam Tv unaoandaliwa na CEOrt chini ya kiongozi wao Ally Mufuruki, Dr Slaa amesema wao hawatashiriki Mijadala mpaka watakapomaliza kura za MAONI ndani ya chama.
Washiriki ni prof Lipumba CUF, Zitto Kabwe ACT, Dr. Slaa CHADEMA na Dr. Emanuel Makaidi NLD.
Dr Slaa yuko sahihi, hawezi kushiriki mdahalo unaohusisha waliotangaza nia ya kugombea Urais wakati hajatangaza nia hiyo, labda kama mdahalo huo utawahusishwa makatibu wakuu wa vyama vya siasa. Huwezi kushiriki mdahalo unaohusisha washiriki wa upande moja (wapinzani) kama vile ambavyo ni wendawazimu kufanya mdahalo unaowashirikisha washiriki wa chama kimoja (CCM peke yao). Ukifanya mdahalo jinsi hiyo utawafanya wapinzani kujua mapungufu ya wagombea wenu.
Zitto huyu huyu anaogopwa? Au kazaliwa mwigine?
zitto anatafuta pa kutokea chadema kaalikwa katibu wa chama,cuf mwenyekiti act kwanini hawakualika mwenyekiti au katibu
ALLY MFURUKI ameweka quran ichambuliwe ndio kilichomponza
nimeuliza vigezo kama walitaka kujua watu wa maswala ya uchumi wangealika kila chama kitoe mtu wao huyo zitto unayemsifia akiwa waziri kivuli wa fedha si alishindwa kuandaa bajeti ya upinzaniWewe unaleta mchezo na madahalo wa uchumi, unahitaji elimu.
Sasa Mwenyekiti wa Chadema akasimame na Prof Lipumba na Zitto?waliangalia ndio maana wakaona afadhari Dr Slaa angeweza kujadili, Mbowe mjadala huo ungempwelepweta.
Midahalo inaandaliwa kimagumashi ya ALLY Mfuruki hakuna mwenye uzoefu wa midahalo ataendaKuanzia Leo nimetambua kwamba chadema nao waoga wa midahalo.
Kwa sababu anaitwa Ally?
Basi tutamuomba wakati ujao aweke mdahalo wa Agano Jipya huo ndio Dr Slaa atauweza maana kausomea.Lakin mambo ya uchumi hayo muachieni guru Prof Lipumba.
Midahalo inaandaliwa kimagumashi ya ALLY Mfuruki hakuna mwenye uzoefu wa midahalo ataenda
Wewe unaleta mchezo na madahalo wa uchumi, unahitaji elimu.
Sasa Mwenyekiti wa Chadema akasimame na Prof Lipumba na Zitto?waliangalia ndio maana wakaona afadhari Dr Slaa angeweza kujadili, Mbowe mjadala huo ungempwelepweta.
nimeuliza vigezo kama walitaka kujua watu wa maswala ya uchumi wangealika kila chama kitoe mtu wao huyo zitto unayemsifia akiwa waziri kivuli wa fedha si alishindwa kuandaa bajeti ya upinzani