Ma housegirl wanalika mkuu na wengi tunajisevia. Me mwenyewe baada ya kuona mke wangu anatoka na jamaa mwingine niliamua kupooza makali kwa housegirl wangu na nikawa naenjoy kwelimaana wanajua kucare na heshima inakuwa juu. Maana huku bosi, kule ni honey. So kunakuwa na utulivu kweli. Sasa nimeamua kumuacha huyu zumbukuku na nimetulia na house girl na nimefunganaye ndoa huku tukibarikiwa kwa kupata watoto mapacha wawili wa kike nakiume. Thanks God. Wakati mwingine Mungu ana makusudi yake. Ila kwa kuchukua mke wa mtu ni kashfa kubwa na huko ni kukosa ujasiri wa kutongoza. Maana wake za watu hawatongozwi bwali ni makubaliano tu hufanyika. Salamu pekee yatosha kumpata mke wa mtu hasa ikiwa mjamaa ni mvivu wa ule mchezo au kama ana kale kamchezo ka bafuni kama anavyofanya katibu mkuu wa chama fulani
Ni kweli tupu usemayo mkuu wangu.
lowassa anatakiwa kuangalia umati huu apime kama agombeee kupitia ccm au akaye nyumbani ???
Maana watu wamechoka kuongozwa na ccm !!!!
Mtaji wa lowassa upo makanisani na kwa makusudi ya wenzake ccm imechafua mtaji huo kwa suala la nani achinje !!!!
Maaskofu nchini ambao ni mtaji wa lowassa wamechoka!!!
Wengi wamejitokeza kumjua huyu anayepola wake za watu na kupanga mipango ya kuuwa watu huyu ni nani? Wamsikia tu kwamba kunagwiji anitwa slaa anaandaa mipango ya kumuuwa zito ,mama zito na msaki.
Asante sana idawa Mungu akubariki kwa kazi nzuri sana.
Wengi wamejitokeza kumjua
huyu anayepola wake za watu na kupanga mipango ya kuuwa watu huyu ni
nani? Wamsikia tu kwamba kunagwiji anitwa slaa anaandaa mipango ya
kumuuwa zito ,mama zito na msaki.
Dr Slaa anachukuliwa na wananchi wa hapa kama Mfalme wa Tunduma.
Hao wanajaa kwa Slaa wanapiga kura CCM.
Asante mkuu nimepatamwambie muhudumu akupe kinana lager mbili kwa bili yangu
CDM walipanga mkakati mzuri sana wa kiuongozi Bungeni na nje ya Bunge ambao unatoa mbadala sawia kwa serikali iliyoko madarakani.
Kwamba; kila kiongozi wa CCM bungeni na nje ya bunge anaye mbadala wake ndani ya CDM, Kifo cha CCM 2015 ni dhahili, hata wana CCM wengi wanalijua hilo.
Madam Supika, Makinda -------------- Mbowe, Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Waziri Mkuu, Pinda -------------------- Zitto, Makamu Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Msemaji wa CCM bungeni, Lukuvi ------- Tundu Lissu, Mnadhimu Kambi ya upinzani bungeni
Raisi aka Mkuu wa nchi, Kikwete ------- Dr. Slaa; Katibu Mkuu CDM; Rais Mioyoni mwa waTZ (Majority)
Mawaziri, --------------------------------- Mawaziri Vivuli
Wakuu wa mikoa -------------------------- Wakuu wa Kanda
----------
----------
---------
Mkuu wa PoliCCM; Saidi Mwema --------------------------------- Rwakatare (haaaa haaa ), Mkuu wa Usalama CDM
mwambie muhudumu akupe kinana lager mbili kwa bili yangu
amekuja na mama yako this time........
mtindo huu wa kuripoti angalia usijekutolewa kucha
Kula 4.
Dr slaa ni kipenzi cha watu, Mungu wetu amlinde baba yetu, dr wetu , kiongozi wetu mpendwa dr slaa.
hapo kwa kazi na mvuto ni Dk Silaa wa ChademaNi haki yao Mkuu; sidhani kama kuna binadamu yeyote mwenye akili timamu anayependa habari mbaya. By the way, hivi tukiwa-rank, ni Katibu Mkuu yupi anashika nafasi ipi kwa uongozi mahiri ndani ya vyama vyao?
1. Col. Abdulrahmani Kinana (CCM)
2. Maalim Seif Sharif Hamad (CUF)
3. Sam Ruhuza (NCCR-Mageuzi)
4. W. P. Slaa (Chadema)
5. General Secretary Emeritus Nnape Nnauye (CCJ/CCK)
6. xxx (UPDP)
7. xxx (UMD)
8. xxx (Tadea)
9. xxx (NRA)
10. xxx (TLP)
11. xxx (ADC)
12. xxx (UDP)
Hebu tupe maoni yako hapo.