Dr. Slaa ailipua Ikulu

Dr. Slaa ailipua Ikulu

Ningeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.

Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa ya chademaa.
.....mmh! wee nawe unamuita Dr. Slaa Babu wakati umemzidi mwaka mmoja!!. Kweli watu hampendi kuzeeka
 
Ningeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.

Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa ya chademaa.

Ooh, Jamani mama ni akili yako ama na wewe umepokea kamshiko ka ESCROW?

Huoni Hospitali hazina dawa, vifaa duni na Madaktari hawana morali

Watanzania wengi sana wanakufa kwa kukosa dawa. Watu wengi wanakufa kuliko nchi yenye vita...

Akina mama wenzako wanalala wawili wawili na wengine sakafuni, huoni haya...

Huoni Kenyatta kawatimua mawaziri wake...Loo. umezidi kumtetea jamaa yako hata kwa virojaa
 
Dr Slaa daima ni msema kweli na msimia haki. Hatua ya Kikwete kukaa kimya na kudharau maamuzi ya Bunge ni dhihaka kwa watanzania.

Hakika Dr Slaa RAIS wa mioyo yetu chondechonde hata ikibidi tupo tayari nguvu na mamlaka ya umma imhukumu JK na serikali yake.

tutaanza kwenye serikali za mitaa
 
ukiona mtu anasifia mtu mchafu basi ujue na yeye mchafu zaidi hawa wanatetea wezi wa pesa zetu za escrow hatuna muda wa kushindana na wafu tutahukumu kwenye kura ..
 
Huna hoja wewe bali unaleta Mahoka

Molemo, huna hadhi yakubishana na kandambili. Unatakiwa ubishane na alieivaa yaani boc wake aliemtuma. Tizama, tunajadili billions ambazo ni kodi zetu kwa ajili ya madawa na elimu na vitu vingi, swala analoongelea angewauliza cdm wamefikia wapi, how does that sum help we normal citizens? Kamuulize mhasibu wa chama je atwambie hizi za escrow tumuulize nani? Maana hata kuu la kaya lilivoona issue inaenda kubaya likaibua tezi dume, toka lini Rais wa nchi yetu akatangaza ugonjwa wake akiwa anatibiwa? Alivoona bunge linamaliza kazi yake likarejea. Haya tumelikabidhi kazi limekaa kimya eti zee la busara! Atuambie kama asipochukua hatua nasisi tukae kimya kama si ujuha nini? Kama anaona kuna ufisadi umefanywa na baba Slaa, mbona alishlitolea ufafanuzi. Unajua you can not justify the wrongs by the wrongs. Ukifungwa kwa kosa la kubaka mtoto wa miaka 12 huwezi sema mbona kijijini msoga kuna jamaa kaoa mtoto wa miaka 11? Niwapuuzi tu ndo wanawaza ujinga kama huu
 
Molemo, huna hadhi yakubishana na kandambili. Unatakiwa ubishane na alieivaa yaani boc wake aliemtuma. Tizama, tunajadili billions ambazo ni kodi zetu kwa ajili ya madawa na elimu na vitu vingi, swala analoongelea angewauliza cdm wamefikia wapi, how does that sum help we normal citizens? Kamuulize mwasibu wa chama je atwambie hizi za escrow tumuulize nani? Maana hata kuu la kaya lilivoona issue inaenda kubaya likaibua tezi dume, toka lini Rais wa nchi yetu akatangaza ugonjwa wake akiwa anatibiwa? Alivoona bunge linamaliza kazi yake likarejea. Haya tumelikabidhi kazi limekaa kimya eti zee la busara! Atuambie kama asipochukua hatua nasisi tukae kimya kama si ujuha nini? Kama anaona kuna ufisadi umefanywa na baba Slaa, mbona alishlitolea ufafanuzi. Unajua you can not justify the wrongs by the wrongs. Ukifungwa kwa kosa la kubaka mtoto wa miaka rights huwezi sema mbona kijijini msoga kuna jamaa kaoa mtoto wa miaka 11? Niwapuuzi tu ndo wanawaza ujinga kama huu

Asante sana Kamanda cray...Tuko pamoja sana
 
Last edited by a moderator:
Dr Slaa daima ni msema kweli na msimia haki. Hatua ya Kikwete kukaa kimya na kudharau maamuzi ya Bunge ni dhihaka kwa watanzania.

Hakika Dr Slaa RAIS wa mioyo yetu chondechonde hata ikibidi tupo tayari nguvu na mamlaka ya umma imhukumu JK na serikali yake.

tutaanza kwenye serikali za mitaa
JK mwenyewe huenda anahusika ndo maana anakuwa mgumu wa kuchukua hatua mapema ccm hakuna aliye msafi hata mmoja wote mafisadi na wezi wa rasimali zetu.
 
Ooh, Jamani mama ni akili yako ama na wewe umepokea kamshiko ka ESCROW?

Huoni Hospitali hazina dawa, vifaa duni na Madaktari hawana morali

Watanzania wengi sana wanakufa kwa kukosa dawa. Watu wengi wanakufa kuliko nchi yenye vita...

Akina mama wenzako wanalala wawili wawili na wengine sakafuni, huoni haya...

Huoni Kenyatta kawatimua mawaziri wake...Loo. umezidi kumtetea jamaa yako hata kwa virojaa

Hizo nyimbo zime flop zamani. Kama unabisha muulize Ulimboka.
 
Unajua maana ya neno muflisi? Bila shaka hujui na ndiyo maana unajitia aibu hadharani. Watu wana uchungu na wezi wewe unawatetea bila hata chembe cha aibu kwa malipo ya ya senti za kununulia bamia. Ona haya.

Duh! wewe wakunifundisha mimi muflis? amma kweli wewe umefilisika.
 
Nataka UKAWA wakomalie na majina ya watuhumiwa waliochota fedha za ESCROW kupitia benki ya Stanbink.Huko ndiko kwenye majina ya watu muhimu sana wakiwemo hawa wanaodai kuwa wapinga ufisadi nchini!

Hivi mafisadi hayana aibu?Tundu Lissu alitamka waziwazi bungeni kwa kuwataja majina Muhongo,Chenge,Tibaijuka,Werema na MAJIZI mengine yote yawajibishwe kulingana na mapendekezo ya PAC lakini bado yameng'ang'ania tu!
 
Kamanda Molemo si unaujua ule uko wa Panya? Basi wanatapatapa huku twende tukawagaregaze kwenye serekali za mita
 
Dr Slaa daima ni msema kweli na msimia haki. Hatua ya Kikwete kukaa kimya na kudharau maamuzi ya Bunge ni dhihaka kwa watanzania.

Hakika Dr Slaa RAIS wa mioyo yetu chondechonde hata ikibidi tupo tayari nguvu na mamlaka ya umma imhukumu JK na serikali yake.

tutaanza kwenye serikali za mitaa
Hakika anasema kweli. Ndo maana anasema kweli kuwa Josephine Mushumbusi ni mke wake wa ndoa
 
mkuu huu ufisadi unaendelea katika taifa hili wewe unaona hauna madhara kwa jamii eti mkuu???

Nikupe mfano mdogo tu, mkemia mkuu wa serikali ambaye mbali ya majukumu mengi aliyonayo lakini ndiye hufanya uchunguzi kuhusu matukio mbalimbali ya vifo/kesi zinazohitaji uchunguzi wa kimaaabara. Kwa kawaida bajeti yake ni 1.3 BILIONI, lakini juzi serikali imempa bajeti ya milioni 150 tu, kutoka 1.3 Bilioni, wakati mtu mmoja kama mama tibaijuka kapewa 1.6 Bilioni, upo???
sasa nini maana yake, ni kwamba kuna watanzania wenzetu maelfu kwa maelfu wataendelea kusota huko rumande bila kupandishwa mahakamani maana makosa yao bado hayajathibitishwa na mkemia mkuu kisa tu hakuna bajeti ya kumuwezesha mkemia mkuu huyo kufanyia kazi sampuli ambazo zingeweza watia hatiani watuhumiwa. Nawako hata ndugu zetu huko wanawekwa rumande hata miaka 6, bila kosa lao kujulikana... wewe unaona ni haki hiyo maelfu wateseke kisa mtu mmoja tu>>>?? Nikuulize tena mkuu hizo 1.6 Bilioni tungeweza kutengeneza madawati mangapi?? au tungeweza kuwaongezea mishahara walimu wangapi?

Mkuu hata kama unafaidika na wizi lakini kuwa na utu kidogo!!!!!....wizi huu haukubaliki tusaidiane kuufichua, acha kujiangalia wewe tu kisa umeshiba...

Ndicho hicho kilichomtoa babu kutoka mtaa wa Ufipa kwenda kuwaeleza wananchi?.

Hii ni dharau kwa wananchi walioenda kumsikiliza.

Hana ajenda kwa sasa kilichobaki ni kudandia dandia ajenda.

Kwa hiyo anawaambia waichague CHADEMA kwa sababu Rais Kikwete hajatengua uteuzi wa baadhi ya mawaziri.

Kwa hiyo Rais Kikwete akitengua ndiyo wasiichague CHADEMA.

Hoja za kitoto.

Kuna wengine wakizeeka wanazeeka, pia na hekima na busara zao.
 
Hizo ni baraka za kuanza kutimiza tuliyoyaongea na kuyachukulia hatua siku nyingi. Kuwa sasa ni wakati wa kujitegemea bajeti yetu na si kutegemea misaada na Kikwete alishalianza hilo vizuri sana, hatushtuki hata chembe.

Thubutu yake ! Angeanza kwanza kufanyiwa upasuaji wa tezi dume hospitali ya Tumbi basi .
 
Wala sio kipenzi cha watanzania wewe.nikipenzi cha mke wake
 
Ningeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.

Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa ya chademaa.

Punguza Munkhali; Ni hoja ya UKAWA hii siyo ya CHADEMA.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom