mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,421
- 1,792
Hakika anasema kweli. Ndo maana anasema kweli kuwa Josephine Mushumbusi ni mke wake wa ndoa
Usiingilie mambo ya Familiya. Utakuja pata aibu hadharani.
Na ndio maana Binadamu tunaishi katika nyumba zenye kuta nene ili kustiri ya ndani.
Huu ni ukumbi wa SIASA, hivyo ni vyema kama utajadili kuhusiana na siasa. Kama kuna jambo la familiya unataka kuliweka hapa itakuwa siyo sehemu yake. Labda mwambie MODS aongeze ukumbi wa FAMILIYA.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!