Dr. Slaa ailipua Ikulu

Dr. Slaa ailipua Ikulu

Ndicho hicho kilichomtoa babu kutoka mtaa wa Ufipa kwenda kuwaeleza wananchi?.

Hii ni dharau kwa wananchi walioenda kumsikiliza.

Hana ajenda kwa sasa kilichobaki ni kudandia dandia ajenda.

Kwa hiyo anawaambia waichague CHADEMA kwa sababu Rais Kikwete hajatengua uteuzi wa baadhi ya mawaziri.

Kwa hiyo Rais Kikwete akitengua ndiyo wasiichague CHADEMA.

Hoja za kitoto.

Kuna wengine wakizeeka wanazeeka, pia na hekima na busara zao.

Lumumba buku seven.std seven.. . .hivi mkuchika ni kijana.kingunge ni kijana.Mang'ula ni kijana.Anna abdala ni kijana.name engine kina lubuva Damian ni vijana? chande Othman ni kijana?
sometimes muwe mnafikiri kablw ya kuvuka barabarw
 
Ningeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.

Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa ya chademaa.

Tumewashika pabaya sana mwaka huu nijino kwa jino
 
Ndicho hicho kilichomtoa babu kutoka mtaa wa Ufipa kwenda kuwaeleza wananchi?.

Hii ni dharau kwa wananchi walioenda kumsikiliza.

Hana ajenda kwa sasa kilichobaki ni kudandia dandia ajenda.

Kwa hiyo anawaambia waichague CHADEMA kwa sababu Rais Kikwete hajatengua uteuzi wa baadhi ya mawaziri.

Kwa hiyo Rais Kikwete akitengua ndiyo wasiichague CHADEMA.

Hoja za kitoto.

Kuna wengine wakizeeka wanazeeka, pia na hekima na busara zao.

Kwani sasa hivi CCM wana hoja gani? Si imebaki kuchangisha masikini wakajenge maabara wakati pesa zinaibiwa tu na tuliowakabidhi kuzilinda ama wanashiriki au wanaangalia tu
 
Huja acha kujidhalilisha tu kwa hisia za udini na ukabila?!

Wewe ni miongoni mwa watu mnao shusha hadhi hili jukwaa.

Usiwashangae mkuu.Hawana hoja hao.Hoja yao ni Udini na Ukabila.
 
Dr Slaa kuwa mkweli na uje na facts Mh Rais ni mtu Makini ndio maana hakurupuki kuna issues za kuwekwa sawa kuhusu hilo sakata kabla ya hayo yote Zittos report ililidanganya Bunge wazi wazi na haya yatajulikana baada ya ukweli kuwa wazi kwa wan aotaka kusikia ukweli....
 
ingekuwa hoja muflis wazungu wasingewanyima hela mkabaki mnapumulia mashine kama ilivyo sasa .

Hizo ni baraka za kuanza kutimiza tuliyoyaongea na kuyachukulia hatua siku nyingi. Kuwa sasa ni wakati wa kujitegemea bajeti yetu na si kutegemea misaada na Kikwete alishalianza hilo vizuri sana, hatushtuki hata chembe.
 
Ndicho hicho kilichomtoa babu kutoka mtaa wa Ufipa kwenda kuwaeleza wananchi?.

Hii ni dharau kwa wananchi walioenda kumsikiliza.

Hana ajenda kwa sasa kilichobaki ni kudandia dandia ajenda.

Kwa hiyo anawaambia waichague CHADEMA kwa sababu Rais Kikwete hajatengua uteuzi wa baadhi ya mawaziri.

Kwa hiyo Rais Kikwete akitengua ndiyo wasiichague CHADEMA.

Hoja za kitoto.

Kuna wengine wakizeeka wanazeeka, pia na hekima na busara zao.

Mpiga picha wa Nape

Ningeshangaa usingekimbilia hapa kujidhalilisha.
 
Ningeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.

Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa ya chademaa.

Bora ukachangishe pesa ya maabara maana huna jipya hapa. kila sekta imeoza, mikataba mibovu kila kitu ovyo
 
Safi sana dr..mr presdent slaa for real..vijana wenye akili timamu tupo pamoja na wewe..m4c daima
 
Ndicho hicho kilichomtoa babu kutoka mtaa wa Ufipa kwenda kuwaeleza wananchi?.

Hii ni dharau kwa wananchi walioenda kumsikiliza.

Hana ajenda kwa sasa kilichobaki ni kudandia dandia ajenda.

Kwa hiyo anawaambia waichague CHADEMA kwa sababu Rais Kikwete hajatengua uteuzi wa baadhi ya mawaziri.

Kwa hiyo Rais Kikwete akitengua ndiyo wasiichague CHADEMA.

Hoja za kitoto.

Kuna wengine wakizeeka wanazeeka, pia na hekima na busara zao.

Wewe mbona jana umekuja moro ukaogopa kuhutubia baada ya kuona mkutano umedoroa. Shame on you
 
Mke akifurahishwa na bwana ake usiku, akikutana na mashoga zake lazima amsifie kama unavyoona kwenye haya maelezo meengi ya mkuu molemo

Jizi la Escrow upo...

Ni lazima haya maneno ya Daktari yakuume.Pole
 
Ndicho hicho kilichomtoa babu kutoka mtaa wa Ufipa kwenda kuwaeleza wananchi?.

Hii ni dharau kwa wananchi walioenda kumsikiliza.

Hana ajenda kwa sasa kilichobaki ni kudandia dandia ajenda.

Kwa hiyo anawaambia waichague CHADEMA kwa sababu Rais Kikwete hajatengua uteuzi wa baadhi ya mawaziri.

Kwa hiyo Rais Kikwete akitengua ndiyo wasiichague CHADEMA.

Hoja za kitoto.

Kuna wengine wakizeeka wanazeeka, pia na hekima na busara zao.

bwana Nepi naona umeanza kuchanganyikiwa baada ya serekali za mita kukuendea mrama poleni sana na kipindi hii hakuna kuchakachua
 
Hizo ni baraka za kuanza kutimiza tuliyoyaongea na kuyachukulia hatua siku nyingi. Kuwa sasa ni wakati wa kujitegemea bajeti yetu na si kutegemea misaada na Kikwete alishalianza hilo vizuri sana, hatushtuki hata chembe.

Huna lolote unalojua, nani ningekuwa mods mpuuz ww ningekuwa nishakupga ban ya maisha siku nyingi.
 
Hizo ulizoandika hapo juu ni hoja za kitoto na nna Mashaka na umri wako, kama sio below18yrs, Basi utakuwa unatumika kutetea serikali ya mr dhaifu. Watu kama ww ni janga la taifa.

Asante Mkuu...Nadhani hatarudi tena hapa
 
Muhimu UKAWA kuitisha maandamano nchi nzima kushinikiza JK kutekeleza maamuzi ya bunge au ajiuzulu.
 
Huja acha kujidhalilisha tu kwa hisia za udini na ukabila?!
Wewe ni miongoni mwa watu mnao shusha hadhi hili jukwaa.
anajidhalilisha na kipi?
kwani hujui hoja za Molemo kuna mahali popote kamuhusisha Zitto au kafulila?
kila siku mada zake ni hizohizo 'MBOWE KUPOKEWA KWA MAANDAMANO DAR'

msaka-gamba mtu kachanwa na umarangu wake kuwa ni kujipendekza ww unaingia kichwa kichwa kaa kutafuta magamba
 
Back
Top Bottom