- Thread starter
- #41
Muhimu UKAWA kuitisha maandamano nchi nzima kushinikiza JK kutekeleza maamuzi ya bunge au ajiuzulu.
Ni wazi Dr Slaa anawaandaa Watanzania..
Ukawa ni lazima watafanya jambo kubwa
Muhimu UKAWA kuitisha maandamano nchi nzima kushinikiza JK kutekeleza maamuzi ya bunge au ajiuzulu.
Dr Slaa kuwa mkweli na uje na facts Mh Rais ni mtu Makini ndio maana hakurupuki kuna issues za kuwekwa sawa kuhusu hilo sakata kabla ya hayo yote Zittos report ililidanganya Bunge wazi wazi na haya yatajulikana baada ya ukweli kuwa wazi kwa wan aotaka kusikia ukweli....
Du nimekuja speed nikajua ameipiga bomu kama walivyo jilipua Arusha kumbe story zenyewe za Shigongo dah.
anajidhalilisha na kipi?
kwani hujui hoja za Molemo kuna mahali popote kamuhusisha Zitto au kafulila?
kila siku mada zake ni hizohizo 'MBOWE KUPOKEWA KWA MAANDAMANO DAR'
msaka-gamba mtu kachanwa na umarangu wake kuwa ni kujipendekza ww unaingia kichwa kichwa kaa kutafuta magamba
hii sasa itakuwa sio NchiMuhimu UKAWA kuitisha maandamano nchi nzima kushinikiza JK kutekeleza maamuzi ya bunge au ajiuzulu.
Ningeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.
Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa ya chademaa.
Amekamatwa? Kwanini anatembea na mabomu halafu analipua ovyo
Kwani Zitto na Kafulila hawakuwa CHADEMA? au kwa vile hawatoki KaskaziniKuna aliyekuzuia kuanzisha thread kwa hao uliowataja?
Kwani mpaka aanzishe Molemo ndiyo uridhike?
BABU ni wakupuuzwa tu! Upweke, maradhi na Uzee vinampeleka puta!
BABU ni wakupuuzwa tu! Upweke, maradhi na Uzee vinampeleka puta!
Kwani Zitto na Kafulila hawakuwa CHADEMA? au kwa vile hawatoki Kaskazini
Hoja ya ESCROW si ya CHADEMA na ndio maana Kafulila kaikomalia tena akijua kuna watu wataidandia km yao
Dr Slaa yeye aendelee na UKAWA na katiba km za EPA zimeisha bado za Mwembe yanga
msifukuze upepo tu Mbunge Simbachawene (Mwanasheria ) aliwaambia Wabunge km Rais akikataa kuwawajibisha hao mliompelekea mtamfanya nini? (CHADEMA mmeona ni kuzunguka mitaani?)
Naona yamekuingia bara-bara.