Dr. Slaa ailipua Ikulu

Dr. Slaa ailipua Ikulu

Mzee slaa kwa kudandia mambo kila jambo analitaka yeye mwisho atazua balaa kizee huyu.
 
Wananchi tuko macho... Rais aspowachukulia hatua hao wez 2015 ikulu itakuwa ndoto
 
Mchakato unakuja atapigwa bonge la mweleka tena watanzania kwasasa tunamfanya video huyu mzee akija kwenye mikutano tunakwenda kumwangalia akitoka tunampuuza.
 
Wananchi tuko macho... Rais aspowachukulia hatua hao wez 2015 ikulu itakuwa ndoto
Rais hawezi kuchukua hatua kwa hoja za kijuhama zilizoshinikizwa na wafanyabiashara wapuuzi kamwe hawezi kufanya kosa atachanganya na zile zakwake hawezi kutumia zakuambiwa tu.
 
Mchakato unakuja atapigwa bonge la mweleka tena watanzania kwasasa tunamfanya video huyu mzee akija kwenye mikutano tunakwenda kumwangalia akitoka tunampuuza.

Ila hawa ndio wa maana siyo ?
 
Attachments

  • IMG-20141129-WA0004.jpg
    IMG-20141129-WA0004.jpg
    36.5 KB · Views: 101
Back
Top Bottom