Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro


Ninavyoelewa ni kuwa VETA hujiendesha kibiashara na hivyo kwao mteja anapaswa kuwa ni mfalme, irespective of jinsi, ummi, nationality, party afilliation, education, tribe etc. Sasa kilichofanyika hakiashirii hivyo. Je boss yupi anaweza akawa ndiye ametoa agizo hilo? Sipati Jibu!!!
 
mtamfanyaje? Sidhani kama cdm ni chama cha kulipa visasi. Ila hotel ya kizembe hiyo, si sehemu nzuri ya kufikia. Kama dk slaa wameweza mnyan'ganya funguo sie wengine kajamba nani hata makofi tutapigwa na huyo manager.

Hiyo kazi nitaifanya mie...CHADEMA sio chama cha visasi, ila mimi nina visasi.
 
Yaweza kuwa huyu meneja hata hakujua nn kafanya!Hata walomsurubisha Yesu kristo hawakujua watendalo! Mkombozi wa Tanzania tunakuombea kwa Mungu akuzidishie chachu ya kulikomboa taifa letu!
 
CHADEMA haina intelligence na network ya ku vet sehemu anazoenda mkuu?

Namna hii anaweza hata kuwekewa sumu kwenye kinywaji au chakula kirahisi tu.
 
Hotel Reserves the right of admission.

Hakuna kosa hapo, hata kama vyumba vipo. Wakikuhisi unahatarisha usalama wa hoteli au mazingira (wakiwa wanajiheshimu huwa hawaruhusu wanaume wanaokuja na mahawara zao) kulinda mazingira ya uadilifu.
 

Mkuu wa chuo ndo anasimamia mradi huo.. Na mkuu huyo wa chuo lazima awe Kada wa ccm kwa vyovyote vile.
 
Hayumkini si shwari tena,no longer at ease ikal jambo lina mwisho wake,mwisho wa udhalimu hugubikwa na aibu isiyo na kifani.Watanzania wa leo bado wana kubali kutumiwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Hivi leo hii meneja unatumika kufanya uliyo yafanya kesho mzee wa watu akiwa rais kutakuwa na excuse kweli!!!!!??
 
Hayumkini si shwari tena,no longer at ease kila jambo lina mwisho wake,mwisho wa udhalimu hugubikwa na aibu isiyo na kifani.Watanzania wa leo bado wana kubali kutumiwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Hivi leo hii meneja unatumika kufanya uliyo yafanya kesho mzee wa watu akiwa rais kutakuwa na excuse kweli!!!!!??
 
Hayumkini si shwari tena,no longer at ease ikal jambo lina mwisho wake,mwisho wa udhalimu hugubikwa na aibu isiyo na kifani.Watanzania wa leo bado wana kubali kutumiwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Hivi leo hii meneja unatumika kufanya uliyo yafanya kesho mzee wa watu akiwa rais kutakuwa na excuse kweli!!!!!??
 
Hivi katanyiwa hujuma ama umafia? Headin Mwananchi inasema 'ATIMULIWA' huu ni umafia wa magamba huu...Umafia uko juu ya hujuma. Hahaa magamba bana fitna hadi nyuma za wageni duh!!
 

Hujui lolote kijana.
ungejua sababu ya kumfukuza wala usingetema povu
 
Kwani hamna ofisi moro awekewe godoro? Alitaka alale bure guest jamaa wakastuka.
 
Kwa mwenendo ninavyouona na jinsi Dkt Slaa anavyopata majaribu. NATABIRI RASMI na mwaweza kuninukuu kuwa RAIS WA 2015 ni DKT PETER W. SLAA. Kumzuia ni sawa na kuzuia mafuriko kwa mikono. Nasema haya kwa kuwa kuna tofauti kubwa kati ya kuwa mpenzi wa chama cha SIASA na kuipenda TANZANIA maana Vyama vya siasa vitakufa lakini TANZANIA itakuwepo daima.
 
Ninafurahi kwa hekima yake kubwa, angeweza bisha kuwa chumba kimelipiwa na ameshaingia na yeye ni kiongozi wa juu wa chama hivyo hatoki. Ila amekubali na kuondoka kimya bila kelele, hii ni hekima ya pekee. Long live hakuna mlima usio na kilele, wala marefu yasiyo ncha
 
Huyo hotel meneja angeonekana wa maana kama angepandisha bei ya chumba ili apate Presidential price. Ndio maana bongo ni vigumu sana kutofautisha meneja wa hotel, mhudumu wa hotel, mhudumu wa bar na meneja wa bar; wote akili zao sawa tu.

Kama wamefanya makusudi biashara yao igomewe na wapenda haki na mabadiliko.
 
Ccm always wana mbinu za kizamani sana sijui nani mshauri wao
 
Watamkata lini ule mkono wake wenye kansa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…