Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,975
- 2,170
Duu jamani.....! Tunaelekea wapi tena Huku. Hivi CCM hawajui mbinu wanazozitumia kuwakomoa CDM matokeo yake zinawarudia wenyewe?
Mie naamini huyo Meneja wa Hotel amepewa amri toka kwa Mabosi wake afanye hicho kitendo so asingeweza kukataa ili alinde maslahi yake.
Ninavyoelewa ni kuwa VETA hujiendesha kibiashara na hivyo kwao mteja anapaswa kuwa ni mfalme, irespective of jinsi, ummi, nationality, party afilliation, education, tribe etc. Sasa kilichofanyika hakiashirii hivyo. Je boss yupi anaweza akawa ndiye ametoa agizo hilo? Sipati Jibu!!!