Haya ndio matatizo la kuchanganya siasa na uchumi. Kwa kumtendea visivyo Dr. Slaa, je huyo meneja ameonyesha ukomavu wa kutaaluma? Je, amevutia wateja au amewafukuza?
Kwa kuzima umeme siku nzima ili kumkomoa Dr. Slaa, umesimamisha shughuli zenye thamani kiasi gani ambazo utekelezaji wake huhitaji nishati ya umeme? Kwa utendaji huu, tusitegemee maendeleo yoyote.