Wewe ulitaka asafiri ili akutane na vitu gani?
Kwa uchungu leo sichukui buku saba, yaani Slaa anaenda nje ya nchi kukutana na WATU , naogopa sana naona enzi za CCM sasa zimefikia ukingoni. Yaana anakutana kabisa na watu?
Hapa mjina ni Molemo hajajua nia yako huwenda hata hii atataka akujibu. Huwezi kubishana na kichaa utegemee kufikia conclusion ya maana
Yupo yule anayesafiri nje ya nchi kwenda kubembea tuu na mama yeyoo.Yaan ukweli huu ni mgumu sana kuumeza, katibu mkuu anasafiri nje ya nchi kukutana na watu?
Yupo yule anayesafiri nje ya nchi kwenda kubembea tuu na mama yeyoo.
Wakuu wamependekeza kuweka bembea za kutosha eneo la jumba kuu kupunguza safari kufuata bembea
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
'Kwanini Slaa haalikwi Ulaya na Marekani'? Great thinker wa JF.
Josephine kaenda naye au kamuacha town?
Huyo hakopi tayari ana mgao wake kwenye gesi na bilioni zake ziko UswissMkuu una access ya kukopa M140?
Huyo hakopi tayari ana mgao wake kwenye gesi na bilioni zake ziko Uswiss
Hongereni chadema tuwapige magamba kotekote nje na ndani wao china sis ujerumani. Peopleeeeeeeeeeees!
Mkuu jirekebishe unafanya mambo ya kitoto hapa Jukwaani, haya unayo yafanya yanapaswa kufanywa na vichaa