Dr Shika akipata chaiii

Hata kama ana matatizo, itakuwa ni changamoto za maisha tu, this guy anaonekana alikuwa very smart, sijui nini kilimtokea.
Mbona habari zake zinarushwa kwenye WhatsApp mkuu sitafute, inasikitisha sana
 
Huyu mzee angekuwa na account insta nahs angepata followers balaa...maaana anawatesa sana watu na fikra zao...wabongo wanapenda vtu visivyomaana
Uko sahihi mkuu! Wabongo tunapenda mambo ya kipuuzi mno na hili life la Magu lilivyotaiti basi hatuna budi kupenda ku-refresh mind kama hivi!
 
Jamaa anaakili , vinginevyo zile nguo alizovaa siku ya mnada angevaa mpk leo.
Nyie wenye akili mnavaa nguo wiki bila kubadili.
 
07dcc55d1e694f1260c7d94816fd75b1.jpg



Hizi tai zake lazima zimetoka moscow
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Huyo ni kama mzazi wako, sio vema kumkosea adabu kiasi hicho. Kiazi wewe
mzazi wako anaeza kua na akili kama hzo za kujidhalilisha kwenye jamii??

acha kufananisha wazaz wa wengne na mambo ya ajabu

nyie ndo wale wale juzi kjana mmoja huku mtaani akawa anamchana makavu mama mtu mzima kazi yake kujiuza na kutembea na watt wadogo kuna wapumbavu kama ww wakaja eti huyu ni kama mama yako umuheshimu..
acheni ujinga
 
Kuishi Urusi sio masihara..


Huyu ndiye celebrity wa ukweli Afrika Mashariki kwa sasa
 
Back
Top Bottom