Dr Shika akipata chaiii

Dr Shika akipata chaiii

I really like the guy, very calm, talks like a gentleman and intelligently, down to earth, i pray that he proves the doubters wrong...
To be honest I feel the same. with the little knowledge I have on people with mental disability, for me this guy is more mentally stable than most people commenting here!!!! that is meeeeee Musumeno
 
INGEKUWA ULAYA AU MAREKANI HUYO MAMA NTILIE ASINGEKUWA NA ENEO LA KUWAWEKA WATEJA....
 
mzazi wako anaeza kua na akili kama hzo za kujidhalilisha kwenye jamii??

acha kufananisha wazaz wa wengne na mambo ya ajabu

nyie ndo wale wale juzi kjana mmoja huku mtaani akawa anamchana makavu mama mtu mzima kazi yake kujiuza na kutembea na watt wadogo kuna wapumbavu kama ww wakaja eti huyu ni kama mama yako umuheshimu..
acheni ujinga

Kaa kimya ufiche ujinga wako dogo
 
Huyu father ame trend kweli..kawa maarufu ghafla..mbaya zaidi mwenyewe hana habari!
 
I wish ningeonana nae! Na tukakaa hata dk 20 kuna kitu nimejifunza sana kutoka kwake mzee huyu.
 
kweli mzee kawashika wabongo hii mia tisa itapendeza ni ya kufungia mwaka kabisa
 
Back
Top Bottom