Dr Shika akipata chaiii

2509b958e43cf9eba9a08d86f9f10370.jpg
 
Interview yake imenisikitisha sana kwa mateso aliyopata akiwa Russia ni hatari. Yani anadai walipokua wanamkata vidole vya mkono wa kushoto maumivu hakusikia, ila walipokua wanaponda ponda vidole vya mkono wa kulia ndio alisikia maumivu sana
 
Celebrity of the week, huyu jamaa angeanzisha reality show ya maisha yake kwa hii wiki ingekuwa hot sana
 
Hata kama ana matatizo, itakuwa ni changamoto za maisha tu, this guy anaonekana alikuwa very smart, sijui nini kilimtokea.
Kiukweli sitaki kuamini kwamba HANA AKILI. Ni vyuma tu vimekaza. Na anaonekana ana akili sana huyu mzee. Ila nadhani kwa sasa ni "tajiri mtarajiwa". Atapiga sn hela huyu dingi. Ningekuwa kijana wake, ningekuwa meneja wake. Akishafanya interview, akawa na sequence nzuri ya maelezo, anatoka
 
Back
Top Bottom