0036 savage
Senior Member
- Apr 30, 2019
- 189
- 237
Serikali inatoa ajira sawa ila haisimamii kabisa, unakuta mtu ameajiriwa lakini haeleweki hata anafanya kazi gani. Akifika kazini anakaa tu hafanyi kitu chochote na analipwa pesa mpaka overtime, kwa namna hii hatuwezi kuendelea sasa, kuliko kuajiri watu wasio na kazi, kwanini Serikali isiajiri sehemu zenye uhitaji ambazo mtu akipata nafasi afanye kazi????