Dr Shika akipata chaiii

Sasa ukale supu, mitori na "baga" za buku 10 kwa breakfast tu wakati ya 900 inapendeza zaidi na nzuri kwa afya?!
 
Interview yake imenisikitisha sana kwa mateso aliyopata akiwa Russia ni hatari. Yani anadai walipokua wanamkata vidole vya mkono wa kushoto maumivu hakusikia, ila walipokua wanaponda ponda vidole vya mkono wa kulia ndio alisikia maumivu sana
Amehojiwa wapi mkuu?
 
23473136_1181996038567376_409409494052602835_n.jpg
 
Wenye pesa bwana kuwagundua ni kazi sana.Ila mtu kapata kamilioni basi inakuwa tabu ghetto mademu wanapishana tu
 
Back
Top Bottom