Dr. Shein kumrithi Kikwete

Another descendant of Mohammed as a President? God forbid... More Churches destruction coming your way Christians
Get ready![/QUOT

Unaweza kudhani unajenga kwa statement kama hiz lkn sivyo hata mkristu mwenye uelewa wa kawaida tu hawez kukusupport. Utajisikia raha gani tukianza kugawanyika kwa minajili ya dini badala ya kujadili mada husika humu ndani?
Tumeumbwa hv na tutaishi hv hv no matter what! lkn huu ni udhaif wa kufikiri na statement zako ni chochez hazitatusaidia kamwe. Hao waislam wapo na wataendelea kuwepo daima dumu kama ilivyo kwa wakristu
 
Ni kweli. Ingawa nchi haina udini wala haijaandikwa rasmi lakini hakuna uwezekano wa waislam kurudia urais mfululizo miaka 20. That's out of question. Ndio maana hata January na AshaRose wasijisumbue mwaka huu

Nawahurumia sana kwa chuki mlizonazo dhidi ya waislamu. Mtakufa na vijiba vya roho bure.
 
Tanzania ni Tanganyika na Tanganyika ni Tanzania LAKINI Zanzibar ni Zanzibar haiwezi kuwa Tanzania /Tanganyika!!

Kwa hiyo makosa ya Mzanzibar kuja kuongoza Tanzania/Tanganyika yalifanyika once 1985 - 1995.Kwa sasa Watanganyika hawahitaji kutawaliwa chini ya Muungano wa kimagumashi tena, tumeshajitambua.

Iwe CCM au Ukawa kama mnataka kuona timbwilitimbwili la Watanganyika mtuletee mgombea mzanzibari eti aombe ridhaa ya Watanzania/watanganyika kuiongoza Tanganyika kwa mwavuli wa Muungano!

Zanzibar ibaki kuwa Zanzibar chini ya wazanzibari wenyewe na Tanganyika ibaki kuwa Tanganyika chini ya watanganyika wenyewe. Kama kuna mzanzibari anataka kuwa Rais wa zote mbili, asubiri katiba mpya itakapouweka sawa Muungano huu!!
 
wazanzibar wote ni WASAFI na wala hawana makundi,wanaridhika ba walicho nacho na ni wachapa kazi.BORA hata goigoi kutoka zanzibar kuliko MAIPTL kutoka bara. I suport 100%
 
Tanzania ni Tanganyika na Tanganyika ni Tanzania LAKINI Zanzibar ni Zanzibar haiwezi kuwa Tanzania /Tanganyika!!

Kwa hiyo makosa ya Mzanzibar kuja kuongoza Tanzania/Tanganyika yalifanyika once 1985 - 1995.Kwa sasa Watanganyika hawahitaji kutawaliwa chini ya Muungano wa kimagumashi tena, tumeshajitambua.

Iwe CCM au Ukawa kama mnataka kuona timbwilitimbwili la Watanganyika mtuletee mgombea mzanzibari eti aombe ridhaa ya Watanzania/watanganyika kuiongoza Tanganyika kwa mwavuli wa Muungano!

Zanzibar ibaki kuwa Zanzibar chini ya wazanzibari wenyewe na Tanganyika ibaki kuwa Tanganyika chini ya watanganyika wenyewe. Kama kuna mzanzibari anataka kuwa Rais wa zote mbili, asubiri katiba mpya itakapouweka sawa Muungano huu!!

Kwa hiyoo ikitokea akitawala mzanzibar utaingia mstuni? lakini kumbuka kwamba PANYA ROAD ULIWAKIMBIA!
 
Shein akipewa nafasi nitamuunga mkono naamini ataitengeneza Tanzania kama alivyoitengeneza Mwinyi.
CHAMVIGA
===>kuna mwenzenu kapewa madaraka,ndani ya miezi miwili anataka kujengewa mahali pa swala ofisini,mna tabu sana nyie.
 
Last edited by a moderator:
Nawahurumia sana kwa chuki mlizonazo dhidi ya waislamu. Mtakufa na vijiba vya roho bure.

Usijali mshikaji huyo ni mbumbu sie wakirsto tunataka waendelee kuongoza waislam kwa sababu sio wezi sana labda awe muislamu jina. Ukitaka kujua hilo hebu taja orodha ya mafisadi ishirini tuone wakistu wangapi na waislam wangapi. Tukimpata muislam wa kweli tutakula bata kinoma
 
Natamani sana CCM wamfanye Dr Shein as their flagbearer,Maana Christians within CCM watapiga referendum vote against Islam agenda within their party.Na hivi wanamfanyia zengwe Lowassa!Let me grab my popcorn ready for the most exciting movie on the way.
 
Natamani sana CCM wamfanye Dr Shein as their flagbearer,Maana Christians within CCM watapiga referendum vote against Islam agenda within their party.Na hivi wanamfanyia zengwe Lowassa!Let me grab my popcorn ready for the most exciting movie on the way.ila sidhani kama CCM ni mazuzu kiasi hicho!!
 
Back
Top Bottom