Dr. Shein kumrithi Kikwete

Dr. Shein kumrithi Kikwete

Dr Shen yupi? Jamani mimi siyo mbaguzi lakini nasema kweli fitina kwangu mwiko.Sijaona Mzanzibari anaeweza kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Salim Ahmed Salim 2005 angeweza ila sasa umri umeenda, huyo ndiyo mzanzibari pekee ambae angeweza kuwa rais wa Tanzania ila waliobaki labda wasubiri kizazi cha tano baada ya kizazi hiki kuotoweka duniani

Ni shiiiiiiiiida
 
CCM hawana mgombea urais mwaka huu.
Unaweza shangaa mkata tepe akateuliwa!
 
hii ni sawa sawa na kusema Steven Wassira atukuwa mgombea urais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar 2015
 
Yaaan wakimweka huyo goigoi ushindi kwa UKAWA ni costant,,, UKAWA 80% ccm 16% full stop. Sitaki swali
 
Wakithubutu kuleta Dr.Shein wapinzani watakuwa na kazi nyepesi kuelekea Magogoni mwaka huu.
 
Shein atashindwa na UKAWA mikoa yote ya Tanzania Bara na Pemba!Yy ataongoza Unguja tu tena kwa mbinde

Acheni masihara nyie,na changamoto zote hizi anazo tuachia JK ndiyo incompetent Shein awe mkuu wa dola?
 
kingunge amesema jana waliojitokeza ndani ya ccm kutangaza nia za kugombea uraisi hawafai kwa sababu wanagawa rushwa huu ndo ukweli ndani ya ccm hali ni mbaya sana lakini wakimweke DR Shein wataanguka kifo cha mende sasa ni zamu ya upinzani kuingia ikulu .
 
Mkapa alimuua kwa kumtegeshea sumu kwenye mic bbda ya kujua anataka kulipua uovu ndani ya utawala wake.

ndo kawaida ya utawala wa shetani walivyo wakishajua unataka kutoa siri zao sumu lazima itakuhusu.
 
wazanzibar wote ni WASAFI na wala hawana makundi,wanaridhika ba walicho nacho na ni wachapa kazi.BORA hata goigoi kutoka zanzibar kuliko MAIPTL kutoka bara. I suport 100%

huu muungano kwanza hauna faida yoyote kwetu watanganyika tumebeba mzigo mkubwa kutunza na kulea watu wasiokuwa na faida kwetu bora mbaki huko huko zanzibar ..
 
Kuuwawa au kufa?
Aliuliwa na nani?

Habari za ndani sana ambazo siwezi kuthibitisha, zinadai huyu bwana alitakiwa kumrithi Mkapa, kwa hiyo njia pekee ya kuifisha ndoto yake ilikuwa ni kumhamisha hapa duniani.
Kwa taarifa zaidi, wasisilina na wanamtandao waliomweka Profesa wa kichina madarakani, wanalijua hili kindakindaki,
 
Habari za ndani sana ambazo siwezi kuthibitisha, zinadai huyu bwana alitakiwa kumrithi Mkapa, kwa hiyo njia pekee ya kuifisha ndoto yake ilikuwa ni kumhamisha hapa duniani.
Kwa taarifa zaidi, wasisilina na wanamtandao waliomweka Profesa wa kichina madarakani, wanalijua hili kindakindaki,

Ok. Mhh basi inatosha aisee
 
Back
Top Bottom