Dr. Shein kumrithi Kikwete

Dr. Shein kumrithi Kikwete

Kamati kuu ya ccm imeamua Kuwait Rais awamu ya atoke Zanzibar hoja iliyozua utata kwenye kikao mtonyaji anasema tayari kimenuka ndani wajumbe Leo wamenyanganywa Simu

Baadae kidogo naleta kinachoeendelea ndani salsa hivi
 
Kwa hiyo na ukawa watasimamisha mzenji? Sema sisiemu wameamua kumsimamisha mzenji, sio wameamua rais wa awamu ya tano awe mzenji! Eboh!
 
yani mtu anakuwa rais mara mbili..kwani hii katiba takataka inasemaje kuhusu hili?
 
yani mtu anakuwa rais mara mbili..kwani hii katiba takataka inasemaje kuhusu hili?

Alafu huyu Shein kishashindwa kazi, amekuwa makamu kwa miaka 10 na rais wa Zenji miaka 5. Ktk miaka yake 10 binafsi sikuona mchango wake zaidi ya kuona jitu fulani tu lilozubaa na kukaa pale kutuliza kelele za wazenji kuwa nao wana makamu wa rais. HAFAI.
 
Honest tusijidanganye kutoa raid Zanzibar.tutafanya hovyo kukomoa wagombea lakini kuumiza wananchi vyombo vya sola vinajua tension ya nchi kwa sasa
 
Honest tusijidanganye kutoa rais sZanzibar.tutafanya hovyo kukomoa wagombea lakini kuumiza wananchi vyombo vya sola vinajua tension ya nchi kwa sasa
 
Shein asitumike kama reli ya kuwaondoa wengine kwenye uchaguzi.
Jambo la pili tunataka Rais anaweza bila kujali katoka wapi
 
Daa!! Kumbe bado hawajaconclude tuu,,,, nasubili kwa hamu wampitishe huyo jamaa shenz niselebuke hapa,,, yaani kwa ukawa itakuwa kuteleza tuu, huyu jamaa shein hawez kuongoza litanganyika,,, ccm wakimdelete lowasa wamekwisha mapemaaaa
 
Dr Shen yupi? Jamani mimi siyo mbaguzi lakini nasema kweli fitina kwangu mwiko.Sijaona Mzanzibari anaeweza kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Salim Ahmed Salim 2005 angeweza ila sasa umri umeenda, huyo ndiyo mzanzibari pekee ambae angeweza kuwa rais wa Tanzania ila waliobaki labda wasubiri kizazi cha tano baada ya kizazi hiki kuotoweka duniani

Dr
Shein ni goigoi hawezi lolote huku bara.
 
Kamati kuu ya ccm imeamua Kuwait Rais awamu ya atoke Zanzibar hoja iliyozua utata kwenye kikao mtonyaji anasema tayari kimenuka ndani wajumbe Leo wamenyanganywa Simu

Baadae kidogo naleta kinachoeendelea ndani salsa hivi

Lazima kumsimamisha mzenj, venginevo pete ya ndoa itavuliwa na vibendera vya ASP vitapepea. Catch 22 situation for CCM damn if you do (alienate wa bara with presidential ambition) damn if you don't( wanzazibari lazima watachukia tu)
 
na rais wa Zanzibar atatokea Tanganyika
 
Usijali mshikaji huyo ni mbumbu sie wakirsto tunataka waendelee kuongoza waislam kwa sababu sio wezi sana labda awe muislamu jina. Ukitaka kujua hilo hebu taja orodha ya mafisadi ishirini tuone wakistu wangapi na waislam wangapi. Tukimpata muislam wa kweli tutakula bata kinoma

Zamu ya rais mkristo hutaki jiue full stop.punguti
 
tusidanganyane hapa. kiutamaduni rais ajae lazima awe mkristo hatutaki tena makanisa kuchomwa moto na uwezo mdogo wa kuendesha nchi. upinzani tutashinda kiulaini. mleteni shein muone. anaendesha mkoa wa znz ataweza bara
 
Back
Top Bottom