Dr. Shein kumrithi Kikwete

Dr. Shein kumrithi Kikwete

Zama za mzanzibari kuongoza Tanzania zilikuwa zile za KURA YA NDIYO pekee. Watu laki nane hawawezi kupata kura za kutosha kuongoza watanganyika 44 milioni. Pia huu ni wakati wa dini nyingine nayo kukaa magogoni maAlhaji zamu yenu kaimaliza JK

Jamaa anapinga zamu ya Zanzibar lakini anapigia debe zamu ya Wakristo. Kama ilikuwa sawa kuondokana na mfumo wa zamu za pande za muungano mwaka 2005 haiwezi kuwa dhambi kuondokana na mfumo wa zamu za dini ya mtu. Hivi mbona vyama vingine havijawahi kufuata zamu hizo?... Siasa za maslahi bana!
 
Back
Top Bottom