Comrade kimako jr
Member
- Jan 10, 2015
- 12
- 2
Huyo nae ana maamuzi
Kwa udhaifu wa Shain ni bora hata mke wangu.
ukawa hata wakishinda hawatatangazwa washindi kamwe. Tumeona dalili kwenye uchaguz wa serikali za mitaa.
Mfumodume umekuathiri. Unamdharau hata mkeo! Too low and shame on you!
Shein ni goigoi
Habari magazetini Rfa zasema rais wa Zanzibar Dr Alli M. Shein ndiye atakaye mrithi rais Dr.Jakaya Kikwete October mwaka huu.
Kumbe Mwinyi alishakuwa raisi Zanzibar
Nilikuwa cjui
Kimeo hiko mkikileta loh,,,, piga s ua mgalatia anaingia ikulu 2015