Dr. Salim: The Conspiracy ..&.. Dataz!

Lakini Salim kweli atakubali kufanya kazi chini ya Mwungwana baada ya madudu waliyomfanzia 2005?
Hayo madudu aliyofanyiziwa SAS 2005 ni yapi mbona yasiwekwe hapa jamvini? Asije mtu kutuletea reference za zamani enzi za Blog ya BCS.
 
- Jasusi njakusiwa mwamba, kumbuka kuwa huwezi kuwa a good politician bila ya kuwa na kaunafiki japo kadogo, Salim alipopigwa chini na Urais aliapa kwamba hatajihusisha tena na siasa, au CCM alijifungia ndani kama siku nne akilia na kwamba hatajihusiha tena na Muungwana na Mkapa, infact alikuwa kwenye matayarisho ya kwenda kukutana na waaandishi wa habari Courtyard Hotel ili kuwachafua Mtandao na Mkapa, akawahiwa na Malecela akaacha na leo yeye na hao wote aliojiapiza nao ni damu damu! ndio politics!

- Lakini kwa maoni yangu ni kwamba wale wote walioko kwenye marathon ya Urais one thing they want ni Salim kuwemo kwenye kinyang'anyiro cha Muungano, ndio maana baadhi ya hawa vigogo wanaotayarisha huu mpango wa yeye na Visiwani ni kutoka Mtandao ingawa so far wanapata taabu sana kuiuza hii idea kwa CCM-Asilia, ambao wangependa kuona Salim anagombea kwenye Union level.

- Karume recently ameibuka na kuwa a strong player wa maamuzi muhimu ya taifa na muungano, ni kutokana na kuwa na a strong team kule Visiwani na kusikiliza sana mashauri ya Shein on how to play na sisi wabara. Kule ana kikundi kidogo lakini chenye very intelligent people ambao wameshituka sana na ule mchezo wa kwenda kichwa kichwa na wanasiasa wa bara na huu mshikamano wao ulianzia Butiama, ambapo kwa mara ya kwanza waligundua kwamba Muungwana ni weak!

- Salim has nothing to lose sasa hivi kwa kuanza na Urais wa Visiwani, infact itampa nafasi ya kujisafisha na lawama nyingi sana ambazo amekua akirushiwa kwamba hana record ya uongozi na kwamba alikuwa akibebwa na Mwalimu, akiweza kuji-establish kule na kufanya tofauti na bara, basi bara tutamlilia mara moja kwamba ana-belong kwetu sio kule atajitengenezea njia nzuri sana ya kurudi Bara na kuwa Rais wa Muungano. Salim atashinda urais kule tena kwa kishindo kikubwa sana kwa sababu yeye na CUF wanachukua hela zao kwa tajiri mmoja huko Oman, sasa CUF na Seif hawawezi kuleta kivuli kwa Salim, no way! Na hata kama asipoweza kuwa rais wa Muungano, kwa kuwa Rais wa Visiwani Salim atapata nafasi ya kuwarudi Mtandao bara kiuongozi ambao hawana sera zaidi ya wizi tu wa hela za wananchi, kwa hiyo Salim has everything to gain kwa kuwa Rais wa Visiwani now!

- Tatizo lake kule litakuwa ni Shamuhuna, Hussein na Dr. Bilali, ambao Muungwana anaweza kuwapumzisha pembeni bila ya tatizo na kumnyooshea njia ya urais!

Respect.

FMeS!

Mjadala huu ni mzuri sana. Hata hivyo napata shida kidogo. Kwani ni lazima SAS awe rais? Hawezi kuendelea na mambo yake kama sasa na akawa na amani na kutunza heshima yake? Na ikitokea akafanyiwa faulo kama za 2005 atamlaumu nani na atakuwa amejitendea haki pamoja na wote wanao muheshimu?

Mwezi wa 5 nilikuwa ZNZ na jamaa yangu mmoja alinambia kuwa Wazanzibar wameshaamua kuwa rais ajaye ni Dr Bilali na hawatakuwa tayari kuburuzwa na bara. Sina hakika kama wamebadili msimamo sasa. Nitakuwa huko January 2010, labda nitamtafuta tena tupate kahawa ili anipe updates. :confused:
 
- Kuuza Loliondo na Campaign Finance zinaingiliana vipi mkuu, ni halali kwa viongozi wetu kuchukua pesa za kampeni popote pale as long as hawavunji sheria zetu za Political Campaign Finance kama tunazo,

- Hili halikwepeki sasa duniani ni uamuzi wako kujadili kama mtu aliyekwenda shule au kama unavyojadili sasa yaani ya Loliondo yanahusika vipi Political Campaign Finance? Tafadhali mkuu usiharibu huu mjadala sasa kama ninavyokuona tayari kama huuwezi basi tafuta mijadala mingine ipo mingi sana humu.

- Cha muhimu ni kwamba huwezi tena kua rais wa taifa hili, bila kuwa na sources za hela nyingi sana za kampeni, sasa kama tuna sheria zinazohusu ziwekeni hapa tuzione, tuache kujadili bila hoja wala facts!

- Hata Chadema walichukua hela toka kwa ile foundation ya ya Tonny Blair kwenye uchaguzi uliopita, hivi kulikuwa na ubaya gani kisheria zetu wekeni basi hapa!

Respect.

FMEs!

FMES

Unaamaanisha nini kusema kwamba CHADEMA ilichukua fedha kwa Tonny Blair?

Asha
 
Hayo madudu aliyofanyiziwa SAS 2005 ni yapi mbona yasiwekwe hapa jamvini? Asije mtu kutuletea reference za zamani enzi za Blog ya BCS.

Soma Mwanahalisi ya wiki hii upate habari za kazi iliyofanywa na Salva Rweyemamu + Gideon Shoo
 
Hayo madudu aliyofanyiziwa SAS 2005 ni yapi mbona yasiwekwe hapa jamvini? Asije mtu kutuletea reference za zamani enzi za Blog ya BCS.

Alitengenezewa zengwe na kupikiwa fitna za kufa mtu. Kwamba yeye ni mtu wa HIZBU, waliokuwa wanapingana na ASP enzi hizo, na wanahusihwa moja kwa moja na Mauaji ya Karume.

Na walitafutwa wazee wa kIZAnzibar ambao waliwekewa maneno mdomoni na walisema wazi kwamba kumfikiria SAS KUWA rAIS NI KUWARUDISHA nyuma na kuwakumbusha ENZI ZA machungu za Utawala wa Kisultani na Waarabu wa Hizbu, na kwamba kama SAS angekuwa Rais, Muungano -basi!

But for my case, I RESPECT THIS GENTLEMAN SO MUCH- I call him a National Mentor!
 
FMES

Unaamaanisha nini kusema kwamba CHADEMA ilichukua fedha kwa Tonny Blair?

Asha

- Ninamaanisha ile foundtaion ya Westminister Foundation ya UK ambayo ina-specialize na misaada kwa Oppositions in Africa, kwani ulikuwa hujui mkuu kuwa ni ya Tonny Blair?

- Muuulize Mwenyekiti wako mkuu wangu atakusaidia on this ishu.

Respect

FMEs!
 
Labda anamaanisa kuwa fedha zilizopatikana kutokana na kuuzwa (kama kweli imeuzwa) Loliondo ndizo zilizotumika kugharimia kampeni zao

- Ohhh! Labda? okay nimekupata. By the way Loliondo iliuzwa na nani sio Mwinyi? Mbona hii hadithi inabadilika kila wakati?

Respect.

FMEs!
 
fmes
unavyosema sas awe rais wa znz alafu 2015 aje muungano, inamaanisha unataka grany wa miaka 73 awe rais wa TZ, nooo.....

2015 vijana wengi watakuwa wamefikisha umri wa kugombea ni bora wao kuliko mzee wa miaka 73 ambaye atakuwa anafikiria slow...
 
- Mkuu kwani sheria ya Jamhuri yetu inasema nini kuhusu umri wa wagombea urais na uongozi wa juu wa taifa, naona JF wakati umefika wa kujifunza kuongea na facts, au?

FMEs!
 
- Mkuu kwani sheria ya Jamhuri yetu inasema nini kuhusu umri wa wagombea urais na uongozi wa juu wa taifa, naona JF wakati umefika wa kujifunza kuongea na facts, au?

FMEs!
najua sheria inavyosema ya umri, lakini mtu akiwa na miaka 73 tiyari ni slow
dunia ya sasa ukifika miaka sabini kama bado hujawa rais basi ukigombea tu lazima watu wa highlight uzee wako,
at 73, he is too old to run my beloved TZ
 
- Sasa unasema nini kuhusu Israel wanao ongozwa na Rais Peres mwenye umri wa miaka zaidi ya 80, unasema sisi Tanzania kwa kuwa na Rais kijana we are better off than Israel kiuongozi?

- Kuhusu umri unachozungumzia mkuu ni racism tena ya hali ya juu sana kwa mtu kama wewe, Mwalimu amefariki akiwa in the 70s na bado alikuwa anaaminiwa na dunia nzima, JF tusiingie kwenye ku-promote racism mkuu maana tutashindwa ku-draw the line wewe ukisema mwingine atakuja hapa na kusema hataki wanawake, mwingine atasema hataki vilema,

- tujali sheria inavyosema maana sheria yetu iko wazi sana kwa isiyowatka kugombea urais, yaani wasiofikia miaka 40, au?

mkuu nadhani unamaanisha age descrimination na sio racism, lakini kama unamaanisha hivyo ulivyoandika (racist), mimi sio racist na siwezi kuwa racist kwa salim kwa ajili wote ni the same race.

Israel ina mfumo tofauti ambao prime minister ndio mwenye nguvu, angalia mccain jinsi alivyokuwa anashambuliwa kwa ajili ya uzee wake
viongozi wengi wazee TZ ndio wanachukua tu kwa ajili hawana future na TZ
angalia kibaki hapo nchi jirani au mgabe

sheria yetu yenyewe ina descriminate age na kusema kama uko chini ya 40 huwezi kuwa rais wakati nyerere alikuwa rais akiwa na 39. kabla ya kunishutumu mimi ku descrimianate wazee angalia sheria inavyodescriminate vijana.
 
- Kuuza Loliondo na Campaign Finance zinaingiliana vipi mkuu, ni halali kwa viongozi wetu kuchukua pesa za kampeni popote pale as long as hawavunji sheria zetu za Political Campaign Finance kama tunazo,...

Hapa husemi kweli jaribu tena. Soma katiba ya JMT unatetea rushwa na ununuzi wa kura (votes) halafu unakuja tena kujibadili rangi kwenye threads nyingine.

- Hili halikwepeki sasa duniani ni uamuzi wako kujadili kama mtu aliyekwenda shule au kama unavyojadili sasa yaani ya Loliondo yanahusika vipi Political Campaign Finance? Tafadhali mkuu usiharibu huu mjadala sasa kama ninavyokuona tayari kama huuwezi basi tafuta mijadala mingine ipo mingi sana humu.

Shule inahusiana vipi? Kama huwezi kuona connection hapa unataka nikusaidie vipi? Wenzetu waingereza wanasema flip floping!

- Cha muhimu ni kwamba huwezi tena kua rais wa taifa hili, bila kuwa na sources za hela nyingi sana za kampeni, sasa kama tuna sheria zinazohusu ziwekeni hapa tuzione, tuache kujadili bila hoja wala facts!

Muhimu kwako au kwa Watanzania? Unaongea kama vile unayoandika ndiyo sheria au?

Hata Chadema walichukua hela toka kwa ile foundation ya ya Tonny Blair kwenye uchaguzi uliopita, hivi kulikuwa na ubaya gani kisheria zetu wekeni basi hapa!
Respect.

FMEs!

Chadema ni nani? Wao wakichukua ndio inakuwa halali? Kwa amri (authority) ya nani?

Hapo juu nimeuliza maswala mawili na hakuna hata moja ulojibu, ndiyo tunasema kuzunguka mbuyu huko.

Ama huelewi unachosimamia au rushwa imekukithiri.
 
Hapa husemi kweli jaribu tena. Soma katiba ya JMT unatetea rushwa na ununuzi wa kura (votes) halafu unakuja tena kujibadili rangi kwenye threads nyingine.

Shule inahusiana vipi? Kama huwezi kuona connection hapa unataka nikusaidie vipi? Wenzetu waingereza wanasema flip floping!

Muhimu kwako au kwa Watanzania? Unaongea kama vile unayoandika ndiyo sheria au?

Chadema ni nani? Wao wakichukua ndio inakuwa halali? Kwa amri (authority) ya nani?

Hapo juu nimeuliza maswala mawili na hakuna hata moja ulojibu, ndiyo tunasema kuzunguka mbuyu huko.

Ama huelewi unachosimamia au rushwa imekukithiri.

- Sielewi unachosema the whole thing kwangu ni irerelevant, halafu vipi kumbe wewe umechafuka na rushwa sasa unafikiri ni wote? Bwa! ha!

- Ninakuomba sana usiharibu kuu mjadala na sitakujibu tena ili tujadili na wengine wanaojali taifa letu, badala ya matatzio yao ya binafsi.

FMEs!
 
Back
Top Bottom