Dr. Salim: The Conspiracy ..&.. Dataz!

hivi mtu kama yeye akiingia upinzani atakosa nini ambacho anakipata kwa kuwa ccm
kama kweli anauchungu na nchi hii chadema wanatafuta mtu wa kumsimamisha 2010.
zitto mshauri rafiki yako agombee kupitia chadema

you have said it!
wana jf huwa inafika mahali SIWAELEWI!wanakremu tu.GADDEM
 
Hii tetesi ya kwamba Salim anaadaliwa kuuchukua Urais Zanzibar ni ndoto. Kwa historia ya Zanzibar hata Karume akisema hana tatizo naye haitoshi "kumtakasa" Salum. The prejudice against him is too much deep rooted such that its only the late Karume who can heal it. Which means it is impossible. Hakuna shaka kabisa kwamba safari hii mgombea wa Urais 2010 kwa tiketi ya CCM Zanzibar ni Dr. Bilal. I am willing to take a wager on this.
 
Karume na Seif wameshaishtukia CCM bara kutaka kuwaletea mgombea kwa maslahi ya bara, wameamua kuunganisha nguvu for common interest ya Zanzibar ili kamwe bara sio tuu isiiburuze Zanzibar, bali pia isdictate terms.

Wataweka secret aliance na CUF kama CCM bara itateu mgombea kinyume cha matwaka ya Karume, CCM Zanzibar itamback Maalim na WK atakuwa mtu wa Karume.

karume ana nguvu lakini ina mwisho wake, watayempitisha ccm bara karume amkubali asimkubali atatawala znz. kitu chochote atachokifanya karume ndio kitakuwa mwisho wa familia yake kutawala znz chini ya muungano.
labda karume aamue kuvunja muungano lakini ndani ya muungano na ndani ya ccm ataendelea kusikiliza ya mighty bara
 
Tetesi za FMES ni za ukweli na zinazungumzwa sana katika political corridors. Ninachoona, kutokana na kusikia na kuchunguza maoni ya wanasiasa, SAS atakuwa Union vice President mwakani. Sioni akienda Zanzibar kuwa Rais.
Karume anahangaika sana kutaka mrithi wake awe mtu wake maana kuna madudu ambayo familia yake imefanya Zanzibar ikiwemo kujilimbikizia mali nk. Jaji Mkuu wa sasa ndio chaguo la Karume. Mohamed Gharib Billal ana nafasi kubwa sana ya kuteuliwa na CCM kuwa mgombea.

Hata hivyo ni wazi kabisa kuwa uchaguzi ukiwa wa huru na haki Maalim Seif atamshinda mgombea yeyote wa CCM.
 
Mpaka sasa Dr Shein Mohamed ametokea kuwa kiongozi pekee msafi katika siasa za Tanzania sioni sababu za msingi za kumuengua kwenye umakamu wa rais.
 
Mpaka sasa Dr Shein Mohamed ametokea kuwa kiongozi pekee msafi katika siasa za Tanzania sioni sababu za msingi za kumuengua kwenye umakamu wa rais.

shein ni msafi ...lakini miaka 9 ya umakamu inamtosha ...nadhani hata yeye anajuwa hilo.....na alikuwa radhi kuondoka na mkapa ..ila circle ikamuomba abakie..

shein ni safi lakini alifaa sana kwa mkapa kwa kuwa mkapa alikuwa mkali yeye mpole anayeshauri vikao vya ndani.....he is a good administrator...tatizo akiwa chini ya kikwete ufanisi wake unakuwa mgumu...kikwete anatakiwa awe na makamu wa rais mwenye nguvu na ushawishi ili aweze kufukia kasoro zake......za kiutendaji!!

salim can do that..
 
Tetesi za FMES ni za ukweli na zinazungumzwa sana katika political corridors. Ninachoona, kutokana na kusikia na kuchunguza maoni ya wanasiasa, SAS atakuwa Union vice President mwakani. Sioni akienda Zanzibar kuwa Rais.
Karume anahangaika sana kutaka mrithi wake awe mtu wake maana kuna madudu ambayo familia yake imefanya Zanzibar ikiwemo kujilimbikizia mali nk. Jaji Mkuu wa sasa ndio chaguo la Karume. Mohamed Gharib Billal ana nafasi kubwa sana ya kuteuliwa na CCM kuwa mgombea.

Hata hivyo ni wazi kabisa kuwa uchaguzi ukiwa wa huru na haki Maalim Seif atamshinda mgombea yeyote wa CCM.

Kamanda..Mpiganaji unaongelea JAJI mkuu AGUSTINO RADHAMANI au HAMID[correct me if otherwise]...CJ wa ZANZIBAR??
 
hivi mtu kama yeye akiingia upinzani atakosa nini ambacho anakipata kwa kuwa ccm
kama kweli anauchungu na nchi hii chadema wanatafuta mtu wa kumsimamisha 2010.
zitto mshauri rafiki yako agombee kupitia chadema

Ha ha haa, Mkuu SAS ni Maarufu katika Siasa za kimataifa na Wanazuoni, Upinzani Kushinda unahitaji mtu Maarufu ambaye at least hatakuwa mgeni kwa Wapiga kura wa ukweli ( Sio wapiga Kula wa JF), Wapiga kura wa Ukweli ( waliojiandisha) wengi hawamfahamu SAS coz hajapractice sana siasa za Ndani
 
Uchaguzi Zanzibar is wastage of time and money. Three times uchaguzi unafanyika CUF wanashinda CCM wanatawala, kama mambo yakiendelea katika hali ileile, mchezo utakuwa ni ule ule, unless CUF wawe na strategy nzuri zaidi ya kuwabana wawaachie ushindi wao.

No doubt kuwa sasa hivi Zanzibar inaongozwa na mama Karume, yaani wife of late Mzee Karume, Rais wa sasa ni kama bendera inayofuata upepo wa Mama. Huwa nacheka sana hawa ndugu zetu wanaosema eti CUF wataleta usultani wakati Mama Karume typical sultatni kwa sasa.

This is Repulic of Tanzania, hakuna Kingdom ya kurithishana urais na uongozi wa nchi, na kusema eti ngoja nimuweke mtu wangu.

The best way to go about Zanzibar politics is to do away with Seif kwa kumpa urais, then kutakuwa na mabadiliko.

Salim awe rais wa Tanzania, anatakiwa kuwa in charge asiwe symbol of unity, he has all it take to be Rais.
 
Tetesi za FMES ni za ukweli na zinazungumzwa sana katika political corridors. Ninachoona, kutokana na kusikia na kuchunguza maoni ya wanasiasa, SAS atakuwa Union vice President mwakani. Sioni akienda Zanzibar kuwa Rais.
Karume anahangaika sana kutaka mrithi wake awe mtu wake maana kuna madudu ambayo familia yake imefanya Zanzibar ikiwemo kujilimbikizia mali nk. Jaji Mkuu wa sasa ndio chaguo la Karume. Mohamed Gharib Billal ana nafasi kubwa sana ya kuteuliwa na CCM kuwa mgombea.

Hata hivyo ni wazi kabisa kuwa uchaguzi ukiwa wa huru na haki Maalim Seif atamshinda mgombea yeyote wa CCM.

Mkuu Zitto vipi CHADEMA bara 2010 hawana kitu??
naona umeshapanga safu kabisa JMK presidee na SAS vice presidee.... Au ndio ile adui mwombee njaa sababu unajua jamaa hawaivi kabisa NA SAS hawezi kukubali kufanywa kama Shein alivyofanywa Nyoka la Kibisa....hana madhara kabisa...
 
Mada ni Dokta Salim na siyo nafasi ya CHADEMA. nadhani kuna mada kuhusu chadema nyingi tu humu. Tuseme Salim inawezekana akateuliwa kuwa mgombea Mwenza wa Kikwete kwa tiketi ya CCM. upo sahihi kuwa kuna ambiguity niliposema Salim atakuwa makamu. Nilimaanisha mgombea mwenza..............
 
Tetesi za FMES ni za ukweli na zinazungumzwa sana katika political corridors. Ninachoona, kutokana na kusikia na kuchunguza maoni ya wanasiasa, SAS atakuwa Union vice President mwakani. Sioni akienda Zanzibar kuwa Rais.
Karume anahangaika sana kutaka mrithi wake awe mtu wake maana kuna madudu ambayo familia yake imefanya Zanzibar ikiwemo kujilimbikizia mali nk. Jaji Mkuu wa sasa ndio chaguo la Karume. Mohamed Gharib Billal ana nafasi kubwa sana ya kuteuliwa na CCM kuwa mgombea.

Hata hivyo ni wazi kabisa kuwa uchaguzi ukiwa wa huru na haki Maalim Seif atamshinda mgombea yeyote wa CCM.

- Ahsante Mheshimiwa Zitto, maana ukizikubali dataz wewe basi amina, tatizo la hii idea ni what to do kati ya maadui wakubwa Amani na Ali? Hasa Ali anayedai Amani amenufaika mno na jina la baba yake, sasa it is his time na yeye!

- Si unajua the word is Amani ni mtoto wa Abdulrahman Babu, mama alichanganya somehow somewhere, yes I said it that is the word!

Respect.

FMeS!
 
WENGINE WANASEMA ...hasssan DIRIA...lakini mama fatma si bado yupo hai .....na ali na amani wakizipiga yeye ndiye hitwa kuwaamulia..

ALI hafai!!!..anafikiri usultani huo...

but ES...unaweza kufananisha bifu la ali na amani na la GEORGE na JEB bush....maana Pamoja na kumsaidia kuiba kura za florida jeb alikuwa akimuona george zezeta....tu...na anasema lazima na yeye awe RAIS......
 
SAS pamoja na kutosikika kwake, nafasi yake ni URT. Kwa yote aliyofanyiwa na mtandao, kukubali offer yao yoyote ile kama kipoozeo cha usaliti waliomfanyia itakuwa ni ukosefu wa principles kwa upande wake. Awanie Urais tena, hata kama atashindwa, walau atakuwa ameshindwa kishujaa. Na akitoka hapo aandike kitabu chake mara moja maana kiko long overdue!

Mimi ningelipenda safari hii Seif ashinde tena na CCM washindwe kumdhibiti na kuweka pandikizi jingine la kidikta visiwani. Pengine hii ndiyo itakuwa njia pekee ya kuweza kuwaamsha watu wa Dar wasio onesha mabadiliko yoyote kisiasa lakini wako short-changed karibia katika kila kitu kwenye huduma za jamii ndani ya jiji.

Kushinda kwa Seif visiwani bila shaka kutakuwa na influence kubwa ya mabadiliko nyanda za pwani na Dar. Mabadiliko hayo naamini yatachochea fikra za wananchi kutambua nguvu walizonazo katika kuleta mabadiliko, si ya kiuchumi na maendeleo tu, bali hata katika wimbi la siasa. Na tukumbuke kuwa, pale wananchi wakishaona wanaweza kubadilisha viongozi wao kwa kura, ndipo hapo watakapo anza kuwa na matamanio zaidi ya maendeleo na kutambua mahitaji yao na siyo tu kanga, pilau, kofia na tshirt nyakati za uchaguzi. Likishatokea hili la kubadili fikra katika uchaguzi, msukumo wake kutoka pwani utakuwa ni wa kichocheo kikubwa kwa mabadiliko hayo hayo bara. Na hivyo kuwa chachu ya mabadiliko na mshikamano kwa vyama vingine vya upinzani kiujumla.
 
Napata taaabu kidogo na kumuondoa muungwana shein kwa nafasi ile ila naweza kukubaliana na techniq hii kama mh jk atataka kumrithisha salim 2015 urt. Hilo tu nitakubali kuenguliwa kwa daktari shein na siyo vinginevyo mkuu zitto na fmes.

Mkipata fursa mwambieni muungwana juu ya hilo wakuu, siye wanyonge tutaukubali uamuzi wa msingi huo.
 
Miye simo!

On Ali - hata yeye kanufaika sana. Yupo foreign service kwa muda gani sasa?

Zitto hata kama hutapenda kukiri hili ....nafikiri you know why ali has been the permanent amb. in our foreign service...

KWANZA ...alikimbizwa kumuokoa na ile kesi ya mauwaji ya yule msichana aliyeabusiwa pale maisara...hii siri ilimfanya Almarhum ali ubwa`aambiwe si raia...

pili uhusiano wake hafifu na kaka yake ulirudisha nyuma juhudi za mkapa alipotaka kumrudisha afanye kazi za nchini mwaka 2005...ilibidi baada ya muda tu atafutiwe tena nafasi ujerumani aende.....

ALI ANATAKA KUIONGOZA ZANZIBAR KWA MKONO WA CHUMA NA DAMU KAMA BABA YAKE........
 
Naungana na wengine kuwa Zanzibar is too small for him, yule anastahili kuwa rais bara

Kila muwamba Ngoma Huvutia kwake ,kwa mana hiyo wazanzibar hawastahiki kuwa na kiongozi mwenye madili na kule maendeleo ya visiwa hivyo?au ni nyinyi tu ndio wenye shida za kimaisha na maendeleo?hilo ndilo tatizo lenu kila kizuri mnataka muwe nacho ,Mzee mwinyi mlifanya hivyo sasa mnamchimba sali m .
 
Back
Top Bottom