Dr. Salim: The Conspiracy ..&.. Dataz!

wajameni,

..sasa Ali ana uhakika gani kwamba yeye ni mtoto "halali" wa Sheikh Abeid Karume?

..mimi naona kuanza kugombana na Amani ni kumvunjia heshima Mama yao mzazi.

..inawezekana Ali Karume ni kichaa. napendekeza apelekwe Mirembe akapimwe.
jokaKuu,
Ali anafanana na baba yake . Na Amani anafanana na baba yake.
Mimi nimo!
 
shein kama akiondoka lazima aingie SALIM deal ikishindikana itabidi SHEIN aombwe tena abakie kwani system haitataka kuwa na vice president atakayekaa only 5 years au kujikuta tena rais wa mwaka 2015 akiombwa ambakishe...

VIle vile fahamuni operators wa presidency 2015 hawatapenda kuona nafasi ya makamu wa rais ikikaliwa na mtu ambaye ni potential runner wa mwaka 2015...itakuwa ni sawa na kumpa free pass.....ya urais....

watu wa system pia hawapendi kuwa na mlolongo wa retired VPs .....ndio maana shein alibaki kwa kuwa alikuwa amesave miaka 4 tu wakati mkapa anaondoka .....mtu kama salim tayari ni amepata kuwa VP....kwa hiyo akiirudi tena kwenye nafasi hiyo ..hailiongezei taifa mzigo wowote wa kuwahudumia wastaafu stahiki...........teh...kama tunayoingia kumuhudumia waziri mkuu aliyekaa madarakani mwaka mmoja kwa maisha yake yote.....

- Mkulu PM, maneno mazito sana haya, ubarikiwe!

FMeS!
 
Lakini Salim kweli atakubali kufanya kazi chini ya Mwungwana baada ya madudu waliyomfanzia 2005?
 
Good Analysis!
 
ya'll miss the point; hawataki Salim atake Urais wa Bara kwani atashinda hands down... kwa sababu kina JK na watu wao hawawezi kucheza tena karata yao waliyoicheza 2005. Sasa kama anataka kupigiwa saluti, na kuitwa RAis na kuwa na msafara wa magari yenye ving'ora basi urais wa Zanzibar utamtosha.

Hata hivyo kama anataka kuwatumikia Watanzania katika miaka yake hii ya magharibi basi atake kilichojuu zaidi na kwa msukumo zaidi. Vinginevyo atakuja kuwa the proverbial "the president that never was"!
What is your take about his ability to lead TZ if it happens he gets the opportunity?
 
Salim hafai kwa Znz na JMT ni shikamoo jazz type. He had his time ametumikia taifa kwa nyadhifa kubwa ndani na nje kuanzia umri wa miaka 22 tu. Kwa sasa ni zamu ya wenginr uongozi ni kupokezana vijiti hakuna aliezaliwa kiongozi.

Apumzike alee vijukuu vyake.
 
Kama uongozi ni kupokezana na si kuangalia nani anafaa, makini na mtekelezaji wa sera; kwa minajili hii nadhani CCM inabidi waupokeze uongozi wa serikali kwa CUF kule vizisiwani na waachie Chadema walau mhula mmoja tu huku bara. Unaonaje ndugu Masatu?!
 
Kwa unyenyekevu mkubwa nakuomba mh salim usikubali urais uchwara wa mkoa wa zenj, saizi yako ni UNITED REPUBLIC OF TANZANIA not otherwise,wewe ni tunu kwa nchi hii huwezi kuongoza mkoa
 
Kama uongozi ni kupokezana na si kuangalia nani anafaa, makini na mtekelezaji wa sera; kwa minajili hii nadhani CCM inabidi waupokeze uongozi wa serikali kwa CUF kule vizisiwani na waachie Chadema walau mhula mmoja tu huku bara. Unaonaje ndugu Masatu?!

Wewe kweli genious! unafaa kuwa Alistar Campbell wa Tanzania.
 
Lakini Salim kweli atakubali kufanya kazi chini ya Mwungwana baada ya madudu waliyomfanzia 2005?

- Jasusi njakusiwa mwamba, kumbuka kuwa huwezi kuwa a good politician bila ya kuwa na kaunafiki japo kadogo, Salim alipopigwa chini na Urais aliapa kwamba hatajihusisha tena na siasa, au CCM alijifungia ndani kama siku nne akilia na kwamba hatajihusiha tena na Muungwana na Mkapa, infact alikuwa kwenye matayarisho ya kwenda kukutana na waaandishi wa habari Courtyard Hotel ili kuwachafua Mtandao na Mkapa, akawahiwa na Malecela akaacha na leo yeye na hao wote aliojiapiza nao ni damu damu! ndio politics!

- Lakini kwa maoni yangu ni kwamba wale wote walioko kwenye marathon ya Urais one thing they want ni Salim kuwemo kwenye kinyang'anyiro cha Muungano, ndio maana baadhi ya hawa vigogo wanaotayarisha huu mpango wa yeye na Visiwani ni kutoka Mtandao ingawa so far wanapata taabu sana kuiuza hii idea kwa CCM-Asilia, ambao wangependa kuona Salim anagombea kwenye Union level.

- Karume recently ameibuka na kuwa a strong player wa maamuzi muhimu ya taifa na muungano, ni kutokana na kuwa na a strong team kule Visiwani na kusikiliza sana mashauri ya Shein on how to play na sisi wabara. Kule ana kikundi kidogo lakini chenye very intelligent people ambao wameshituka sana na ule mchezo wa kwenda kichwa kichwa na wanasiasa wa bara na huu mshikamano wao ulianzia Butiama, ambapo kwa mara ya kwanza waligundua kwamba Muungwana ni weak!

- Salim has nothing to lose sasa hivi kwa kuanza na Urais wa Visiwani, infact itampa nafasi ya kujisafisha na lawama nyingi sana ambazo amekua akirushiwa kwamba hana record ya uongozi na kwamba alikuwa akibebwa na Mwalimu, akiweza kuji-establish kule na kufanya tofauti na bara, basi bara tutamlilia mara moja kwamba ana-belong kwetu sio kule atajitengenezea njia nzuri sana ya kurudi Bara na kuwa Rais wa Muungano. Salim atashinda urais kule tena kwa kishindo kikubwa sana kwa sababu yeye na CUF wanachukua hela zao kwa tajiri mmoja huko Oman, sasa CUF na Seif hawawezi kuleta kivuli kwa Salim, no way! Na hata kama asipoweza kuwa rais wa Muungano, kwa kuwa Rais wa Visiwani Salim atapata nafasi ya kuwarudi Mtandao bara kiuongozi ambao hawana sera zaidi ya wizi tu wa hela za wananchi, kwa hiyo Salim has everything to gain kwa kuwa Rais wa Visiwani now!

- Tatizo lake kule litakuwa ni Shamuhuna, Hussein na Dr. Bilali, ambao Muungwana anaweza kuwapumzisha pembeni bila ya tatizo na kumnyooshea njia ya urais!

Respect.

Ndio viongozi ati! Tunaowapigia madebe kweli tuna kazi.
 
Si kasumba. Kuna mambo mengi ya kuzingatia. Tanzania si Taifa la majaribio tena ama la kutawala kwa fasheni. tunahitaji kukimbia wakati wengine wanatembea. Tumechelewa sana. Hatupaswa kuwa na shida na migogoro ya kijinga tuliyonayo sasa. Dr. Salim anakuwa katikati na anaweza kutusukuma wakati tunatafakari hiyo demokrasia wakati VIJANA wanachukua kasi.

Kutokana na waliofanya kazi pamoja naye alipokuwa Waziri mkuu pamoja na Addis itakuwa ni Majuto mjukuu. Wapo wenye uwezo zaidi yake hivi sasa kama watapewa nafasi ambao kama CCM wangeacha kuwakwamisha wangeweza kabisa kufanya kazi nzuri kwa taifa.
 
Ndio viongozi ati! Tunaowapigia madebe kweli tuna kazi.

- Kwani tatizo liko wapi mkuu, wa-Tanzania tufike mahali tukubali kwamba katika miaka hiii ya sasa huwezi kushika power ya taifa bila ya kua na hela tena nyingi sana na ni lazima uzipate somewhere, sasa either tuweke sheria za kuthibiti hizo hela au else, hata Clinton alichukua hela za kugombea toka China.

Respect.

FMEs!
 
Kwa hiyo tusimlaumu JK na RA et al? i.e kwa kuuza Loliondo, etc.

Kama Clinton alichukua pesa uchina basi ni halali kwa viongozi wetu pia?
 
kwa hiyo tusimlaumu jk na ra et al? I.e kwa kuuza loliondo, etc.

Kama clinton alichukua pesa uchina basi ni halali kwa viongozi wetu pia?

kweli mungu hafichi wanafiki,
kumbe r.a anapewa lawama za bure wakati rule of the game ndio hiyo
 
Kwa hiyo tusimlaumu JK na RA et al? i.e kwa kuuza Loliondo, etc.

Kama Clinton alichukua pesa uchina basi ni halali kwa viongozi wetu pia?

- Kuuza Loliondo na Campaign Finance zinaingiliana vipi mkuu, ni halali kwa viongozi wetu kuchukua pesa za kampeni popote pale as long as hawavunji sheria zetu za Political Campaign Finance kama tunazo,

- Hili halikwepeki sasa duniani ni uamuzi wako kujadili kama mtu aliyekwenda shule au kama unavyojadili sasa yaani ya Loliondo yanahusika vipi Political Campaign Finance? Tafadhali mkuu usiharibu huu mjadala sasa kama ninavyokuona tayari kama huuwezi basi tafuta mijadala mingine ipo mingi sana humu.

- Cha muhimu ni kwamba huwezi tena kua rais wa taifa hili, bila kuwa na sources za hela nyingi sana za kampeni, sasa kama tuna sheria zinazohusu ziwekeni hapa tuzione, tuache kujadili bila hoja wala facts!

- Hata Chadema walichukua hela toka kwa ile foundation ya ya Tonny Blair kwenye uchaguzi uliopita, hivi kulikuwa na ubaya gani kisheria zetu wekeni basi hapa!

Respect.

FMEs!
 
Back
Top Bottom