Dr. Ramadhan Dau aunguruma darajani Kigamboni


Inasemekana, inasemekana, inasemekana...
 
MBUNGE mkongwe wa Jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro, Basil Mramba, ameibuka na kaulimbiu ya kutetea kiti chake hicho, akijifananisha na panga la zamani, lakini
likiwa na makali mapya.
Mbali na hilo, mwanasiasa huyo amewaeleza wapiga kura wake kwamba wasiache mbachao kwa msala upitao na mcheza kwao hutuzwa.
Mramba aliyewahi kushika madaraka ya uwaziri katika serikali za awamu zote nchini, amejitetea pia kutokana na umbile lake fupi, akiwaeleza wananchi kwamba wanapaswa kuwachagua watu wafupi ili wakawasimamie warefu.
Waziri huyo wa zamani aliyasema hayo leo kwa nyakati tofauti alipotambulishwa kwa wananchi katika mikutano ya kampeni jimboni kwake, na Mgombea Urais wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.
“Nyie mnanifahamu, kazi zangu mnazifahamu. Nia ninayo, nguvu ninazo na uwezo ninao. Panga la zamani, lakini makali yale yale…msiache mbachao kwa msala upitao na mcheza kwao hutuzwa,” alisema Mramba.
Akimnadi Mramba, Rais Kikwete alisema mwanasiasa huyo ni mbunge wao wa miaka mingi, lakini akammiminia sifa kuwa ni mzee kijana, ambaye amekuwa na mawazo mapya wakati wote.
“Huyu kwa maneno ya mjini, ni Mzee Kijana, kwani ni mwenye mawazo mapya yenye manufaa wakati wote…siyo wale wazee ambao wakichoka la mbele linawekwa nyuma, la nyuma linawekwa mbele. Huyu ubongo wake unajadidika (renewal), ni chimbuko la maarifa mapya,” alisema Kikwete.
Awali, akielezea utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2005-2010, Mramba alieleza mafanikio makubwa katika sekta mbalimbali, na kumshukuru Rais Kikwete kwa kuipatia barabara za lami Rombo; maji ya uhakika; kuipatia vocha za ruzuku za pembejeo na umeme vijijini.
Alisema katika miaka mitano ijayo, kazi kubwa ya Rombo ni kupambana na umasikini
wa watu katika kaya, na nia yao ni kuwawezesha wananchi ili kuondokana na umasikini na kujipatia kipato.

jakaya2010kikwete at 12:11 PM
 
Magori umeona?Dau siyo level yako Magorii...

Aibu kwako sasaa...na Ukurugenz pia umekosaa...

Kaa utulie na tunguri zako
 
Magori umeona?Dau siyo level yako Magorii...

Aibu kwako sasaa...na Ukurugenz pia umekosaa...

Kaa utulie na tunguri zako

The big show umeona ya kilango,ukiona ya mramba,kama huna taarifa basi hyo ndo system Leo mnacheka kesho lupango
 
Nyerere Bridge ndio imeshakamilika, Watanzania wote bila ya kujali dini, rangi au itikadi za Vyama hatuna budi kujivunia mambo yetu.
 
Walimuanza January...waka shindwa..sasa wamehamishia fitina zao kwa Dau.
 
tatizo sio dau tatizo uislam wake mungu akupe kila lakheri kwakuipenda dini yako na mola wako
 
Prof Ngongo.

Naona sasa hivi umeachana na ile ripoti ya CAG umeamua kujikita kwenye maswala ya picha na utabiri.
Kwanza kwenye ripoti ya CAG hakuna swala LA daraja ufujaji ktk ripoti upo kwenye majengo na viwanja,sasa huko kachomeka atachomoaje?
 
Kwanza kwenye ripoti ya CAG hakuna swala LA daraja ufujaji ktk ripoti upo kwenye majengo na viwanja,sasa huko kachomeka atachomoaje?
Mkuu hiyo ripoti unayo tuwekee basi tuitadavue.
 
Swali lili kusudiwa liwe jinsi lilivyo kuwa na hapana shaka yoyote, na wala si haja yangu kumjua huyo mhisani wako zaidi ya anavyo julikana na alivyo jidhihirisha.
Franco Zetta,
Huwezi kujua Dau ana hisani na watu wangapi katika mji huu
mimi nikiwa mmojawapo na ni rafiki na ndugu yangu wa miaka
mingi.

Sasa nakupa nyingine.
Dr. Dau ni bingwa wa kuzungumza Kiingereza.

Rudi tena nikupe nyingine.
 
  • Julius Nyerere International Airport
  • Mwalimu Nyerere University
  • Mwalimu Nyerere Foundation
  • Kigoda cha Mwalimu Nyerere
  • Uwanja wa Kambarage Shinyanga
  • Mwenye Heri Nyerere
  • Daraja la Nyerere
sasa hivi vitu vinamsaidia nini nyerere mwenyewe huko aliko au hata familia yake.
tumia hata akili yako ndogo ya kulia mikate.
 
ACHENI KUMPA TU SIFA ZA KIJINGA. HIZO FEDHA ZILIZOJENGA DARAJA ZIMETOKA MFUKONI MWAKE AU NI FEDHA ZA WANACHAMA WA NSSF WANAOKOSA MAFAO PINDI WAKISTAAFU?
 

"New castle ya Mtanzania mwenzetu Dau" leo inacheza na Man City!!!
 
Hili swala la Dau kwanini mnaligeuza kama vita ya kidini?

Dau ni mtanzania mwenzetu na ameitumikia nchi yake vema...

Acheni kuchochea udini...
AMEITUMIKIA NCHI YAKE VIZURI KWA KUFISIDI MICHANGO YA WANACHAMA WA NSSF KWA KUANZISHA MIRADI HEWA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…