Wewe punguani kweli Dr.Dau kufungua daraja ndiyo udini hebu onyesha huo udini.Hili swala la Dau kwanini mnaligeuza kama vita ya kidini?
Dau ni mtanzania mwenzetu na ameitumikia nchi yake vema...
Acheni kuchochea udini...
![]()
‘’Wastara haumbuki,
Wa mbili havai moja…’’
Haya ni baadhi ya maneno kwenye nyimbo niliyokuwa nikiisikia katika gramaphone nyumbani kwetu wakati nikiwa na umri mdogo sana. Mama yangu akipenda kuuimba mwimbo huu kila afanyapo kazi iwe kupika au kufua. Kuna beti za mwisho nazikumbuka na nikizpenda sana. Zilikuwa na maneno haya:
''Kwetu Congo natumaini,
Kwetu Kongo natumaini.''
Beti hizo nilizipenda kwa kuwa akifurahi alikuwa akiniadhimisha kwa kuniambia kuwa mimi nimetoka Congo.
Wakati huo Bi. Hawa biti Maftah mwanamke wa Kimanyema akimuimbia Nyerere mwimbo
maarufu katika mikutano ya TANU Mnazi Mmoja: ''Hongera mwanangu hongera...''
Wakati ule Dar es Salaam ilikuwa ndogo na jamii ya Kimanyema mjini ilikuwa na hadhi ya kipekee.
Kuanzia wanawake wao hadi wanaume.
Kubwa ni yale maumbo makubwa ukimouna mwanamke wa Kimanyema kapanda ana futi
sita na mwanamme halikadhalika.
Basi nilikuwa nizkizisikia beti hizo mama akiziimba nikawa nasisimkwa na mwili.
Nilipopata umri na kila nilipokutana na shida za dunia khasa katika mambo ya hasad na mengine kazini na kwengineko, vikwazo na nini... mama yangu akinambia: ''Wa mbili havai moja.''
Maana yake ni kuwa ikiwa Allah kakuandikia kupata ndivyo itakavyokuwa hivyo hivyo hata zije fitna kiasi gani.
Ndipo hapo inaingia, ''Wastara haumbuki.''
Yaani hutoweza kumfedhehesha aliyenyanyuliwa.
Fuatilia ukurasa huu...
![]()
Posted 2 hours ago by Mohamed Said
Dau anaunguruma badala ya kuzungumza lazima atakuwa amebadilika akawa paka babu Mohamed Said hueleweki![]()

Hahahahahha!!!Mhhhh?
Hivi kwanini?
Mbona kitilya haliliwi hivi?
Hata yule Bade wa TRA.
Naona baada ya kusahaulika mpaka kwenye uzinduzi, mmekuja kujipoza kwa uzi humu JF.
Kwahiyo Dau amefungua daraja?Wewe punguani kweli Dr.Dau kufungua daraja ndiyo udini hebu onyesha huo udini.
upande mwingine wamelitumia kidini kumhujumu; ndo maana udini usimuhukumu; na ukiondoa udini; hana hatiaHili swala la Dau kwanini mnaligeuza kama vita ya kidini?
Dau ni mtanzania mwenzetu na ameitumikia nchi yake vema...
Acheni kuchochea udini...
waliokataa kumtaja ni dini gani..............Rais hana diniIla kiukweli wahusika wakuu wengine wa sherehe ukitoa rais na mwingine, walikuwa wakitaja wageni waalikwa ila Dr. Dau hawakuwa wanamtaja. Hata katibu wa shughuli hakumtaja.
Na lazima utumie akili kujiuliza, kwa nini rais alimuita Dr. Dau?? Ni baada ya kuona hamna aliyemtaja kama ambavyo 'alistahili'!
Njiwa
Nimesikia sijui MC akisema kuwa lifespan ya hili daraja ni miaka 100+ na litatoa ajira kama 300 hivi.Hata mm nashindwa kuelewa
ina maana Dr Dau angebakia basi Daraja la Dar - Zanzibar lingewekwa?
hivi mnajua hizo pesa zas Wanachama wa NSSF hawaambulii lolote
hakuna cha riba
hakuna kupewa kwa wakati
wengi wanafariki na kuziacha nyuma
km ningekuwa na uwezo mifuko yote ningeifunga ukabaki mmoja tu
toka Mzazi wangu alipokosa na akafariki tukaambiwa yameisha siiamini tena mifuko hii ya ujanja ujanja
Issue sio ya kidini, ila aliyeleta hoja ni mdini nambari wani duniani....Hili swala la Dau kwanini mnaligeuza kama vita ya kidini?
Dau ni mtanzania mwenzetu na ameitumikia nchi yake vema...
Acheni kuchochea udini...
Mchokozi huyu, ana lake jambo. Asubirie watamjibu😛Et darajani kwake [emoji23] [emoji23]
Kikwete alimyanyua Mramba mkono kule Rombo akawaomba wapiga kura wamrejeshe jembe lake baada ya muda akamfunga siku hizi nasikia anafanya usafi Mwananyamala hospital.