Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,455
Mwanasiasa akiongea mbele yako ujue anakutongoza-anaetongoza siku zote hasemi ukweli.
Kwahiyo Lowassa hasemi ukweli?
Mwanasiasa akiongea mbele yako ujue anakutongoza-anaetongoza siku zote hasemi ukweli.
Kwahiyo Nchimbi naye tumweleweje? Siku ile analalamikia faulo za uchaguzi, alikuwa na maana gani? Basi yeye ndiye MSALITI No.1 pamoja na kundi lake la Sophia na Kimbisa! CCM wanafiki kweli!
anachokisemaaa nchimbi si.ndicho anachokiishii moyoni lowasaaa DAMUUUUUU am sureee hata iwejeeeeeeeeeeeee
Mwanasiasa akiongea mbele yako ujue anakutongoza-anaetongoza siku zote hasemi ukweli.
\Nchimbi yuko sahihi kabisa, sehemu yeyote penye ushindani kuna anayeshinda na anayeshindwa, kama wote wanaoshindwa watahamia chama au taasisi sijui ingekuwaje. Ila ukisikiliza sababu zao za kuhama ki-ukweli hazina mashiko......wakati mwingine njaa inawasumbua sana wanasiasa.