Kama nimesikiliza vizuri maelezo ya Mh. Nchimbi kwenye video hapo juu: Kisheria ilikuwa inaruhusiwa kujenga gorofa nane tu katika eneo analozungumzia. Je, ilikuwaje Magufuli akatoa kibali cha kujenga ghorofa zaidi na zikajengwa 26 ?
Lowassa ni Imara sana tena ana akili mingi kuliko ccm tunaobaki ccm kazi yetu ni kuhakiki baada ya Octoba 25 2015 hakutabakia hata masalia ndani ya ccm isahaulike kabisa masikio na midomoni mwa wa Watanzania woote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.