Awsom
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,085
- 307
Kimwili yupo na Magufuli kiroho yupo na Rais
Ni kweli,wajanja tunalijua hili
Kimwili yupo na Magufuli kiroho yupo na Rais
Mjanja huyo anawadanganya ccm wampe mbinu za goli lao la mkono ili akinukishe sehemu
Msaka tonge anaesubiri huruma ya Magufuli.
Jamaa ameonyesha ni kwa jinsi gani ambavyo hawezi kusimama kwa kiguu yake miwili. Kigeugeu haswaaaaa.
Si ajabu kashapigwa biti la hatari kashindwa kuchomoka. Ila mwache habaki koz watu wa caliber yake hawatakiwi UKAWA.
Abakie humo humo ili tuendelee kuwaelewa
Nchimbi yuko sahihi kabisa, sehemu yeyote penye ushindani kuna anayeshinda na anayeshindwa, kama wote wanaoshindwa watahamia chama au taasisi sijui ingekuwaje. Ila ukisikiliza sababu zao za kuhama ki-ukweli hazina mashiko......wakati mwingine njaa inawasumbua sana wanasiasa.
Caliber ya Makongoro Mahanga ndio inatakiwa UKAWA.
Safi Sana Kamanda Kazi Yako Ni Nzuri Lazima Wengine Watoke Wengine Wabaki Hukohuko Kwa Ajili Ya Kupa Sili Na Mipango Ya Nyinyiem